My Ex Anataka Nimwazime Hela!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We pokea simu km vp muazima ilimradi hamjagombana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msaidie kama uwezo huo unao kama huna mwambie ukweli tu.
      Peres 0716213161

      Delete
  2. hamjaachana,unazuga watu bure.
    mbona unatega watu?Suala la mapenzi halina ushauri mbona mlivyokutana mara ya kwanza ni siri yenu?
    Kma unampiga chini basi iwe siri sio kujianika hapa mtandaoni we vp?
    Hela ni yako kama humpi basi lawama hakunamaana unatakiwa kutumia chako jinsi utakavyo.
    Kwa maelezo zaidi nibuzz hapa nikuchane +27780002725

    ReplyDelete
  3. **Mpaka anakutafuta ww ujue anashida kweli so pick up his fone and answer his sms kukaa kimya ni kuonyesha dharau na hujui msela anashida kubwa kiaje.. Kama upo na cash mpe kusaidiana haina maana ndio kurudisha mahusiano**

    ReplyDelete
  4. Ki ukweeli usimpe cz ht mm nilishawahi fanya hivyo hakunilipa hela yangu zaidi tukaishia kugombana na matusi ya nguoni

    ReplyDelete
  5. bhana X n X na abaki huko huko kukopeshana pesa ndo mnaanza mawasiliano ya karibu na mara nyingi hawalipi labda km wataka toa sadaka tu

    ReplyDelete

Top Post Ad