AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mawakili wa Chadema kwa siku za hivi karibuni wanaonekana kuwa mwiba zaidi ukiringanisha na mawakili wa serikali,nataka kujua kwa nini imekuwa hivo?kwani sifa ya kusoma degree ya sheria si zinalingana vyuo vyote?sasa iweje hawa wa serikali wanaonekana kama kidogo hawako vizuri katika kutetea na kujenga hoja mahakamani ukiwalinganisha na wale wa Chadema.Naomba wadau tujadili
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hapana, mawakili wote wanajua sheria sawasawa. Tatizo ni pale kunapokuwa na upande unaotaka kupindisha sheria na upande unaotaka sheria ichukue mkondo wake. Kila mara wale wanaotaka sheria ichukue mkondo wake huwa wanashinda, kwa hiyo inawezekana mawakili wengi wa serikali huegemea kutaka kupindisha sheria labda kwa kutumia technicalities badala ya kujikita kwenye ushahidi na tafsiri ya sheria.
ReplyDeleteundugunization na urafikation ndo shidakwa sababu vigezo havifuatwi kabisa.
ReplyDelete