Wema Sepetu Apata Mkataba Mkubwa Awa Staa Mwenye Thamani Kubwa kuliko Wote Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Darling hair salon iko worth million 1 shilling kwa Mwezi how will wema be rich out of that makubwa

    ReplyDelete
  2. Salon??ebu soma vzr biatchhh

    ReplyDelete
  3. Mmh, kidogo kuna utata hapo.

    ReplyDelete
  4. naskia hyo title ya uigizaji ila mbona muvi n zile zile za asnt kanumba.....endless fame wap muvi zaid kuuza minyago tu

    ReplyDelete
  5. By the way mpalestina kashamla mundu sasa anapewa ubalozi. mwenye darling tanzania malaya anayejulikana kwa kufira wasichana warembo ukizingatia martin kadinda naye ni chakula basi woote wabnafirwaje na huyo wema. mikundu.com

    ReplyDelete
  6. hivi wewew c ndo madang'a kweli unavomtukana hivo mwanamke ni sawa na unamtusi mamako mwacheni wema hata kama anauza sura si ni yeye kwanini isingewekwa ya mamako au dadako jiangalie

    ReplyDelete

Top Post Ad