JIDE AKA ANACONDA NA MWANA FA NANI MKALI BAADA YA SHOW ZAO ZA JANA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya sasa baada ya Show zao za jana kufanyika huku pakiwa na vijembe mbali mbali vikiendelea kati yao kupitia mitandao na Radio ...Embu tuambie nani mkali kati yao ......
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. FA nlikua namuona waukwel sana,ameanzaje kumzingu lejendar tena,au anampango wakuacha mziki? Maana anaelekea kupotea sasa!

    ReplyDelete
  2. show ya jdee ilisimama na ilikuwa kamili uwez amin na inabid uamin FA amejishushia hadh kinoma na amepunguza kama asilimia 70% ya mashabiki wake so ajipange alipoingia ni wanaume kama mabinti ilikuwa na mana hiyo nyimbo sasa imedhihirika

    ReplyDelete
  3. Mwana FA anatumikishwa licha ya elimu yake.

    ReplyDelete
  4. Hivi kulikuwa na umuhimu sana kwa msanii mkongwe kama Mwana FA kufanya show jana?Najua Jide na Mwana FA wameshirikiana nyimbo nyingi sana tangu zamani.Inawezekana kuna mshauri wa mmojawao anafaidika kuona hali inakuwa hivyo.Msanii ki msingi ni kioo cha jamii.Kuwepo kwa bifu za namna hii baina ya hawa wasaka tonge ni doa kubwa katika tasnia ya muziki kama upuuzi wa Pimples.Inabidi wajue kuwa kazi zao ni muhimu ila walaji ndiyo mashabiki.Upuuzi haukubaliki.Hongereni mashabiki mliohudhuria show ya Anaconda binti Machozi.Pamoja sana wadau.

    ReplyDelete
  5. Anaconda ni nomaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  6. Jide kiboko yao!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Wallet kiboko sana yani kamchapa mwenzie kama hamjui ili hali alimsaidia nyimbo nyingi tu.........sasa na wewe mwana naniii ilikuwaje upelekwepelekwe na hao wenye redio ya naniii, minilidhani ulivyotokea msiba wa ngwea ungeamua kumsupport dada kisha dada akusupport wewe maana yeye ndie aliyeanza kutangaza hii ishu, sasa unamtia aibu bimkubwa wake mangea maana sioni kile ulichotangaza utampelekea na nadhani ulihisi ukitangaza hivyo wananchi watakuonea huruma.........jipange na utumie akili yako vizuri.

    ReplyDelete
  8. Jide yupo juu, si kwamba washabiki wote walienda ktk shoo ya jay dee la hasha bāli watu wamemuonyesha kuwa hao clouds ent si lolote si chochote

    ReplyDelete
  9. wa2 walienda kwa jide kuikomesha radio, ila Fa upo juu na upo talented! The finest ilikua poa! Tshaa

    ReplyDelete
  10. Team anaconda ndo mpango mwana fa2ma mbururaaa

    ReplyDelete
  11. ujue hao jamaa wa wanaroho mbaya sana,walijua FA na jide ni washkaji..baada ya kuwakosa jey na nature wakaona wamkamate fa ili wamkwaze zaidi jide..na fa bila kupima au kama alipima labda aliwekewamzigo mkubwa sana akashindwa kukataa..ala kaoneyesha kua mwanafa ananunulika kiulaini bila kujali future yake.....kimsingi fa anajua na anawashabiki wengi sana..alibugi tuu kukubaliana na hao watu kipindi hiki tumempoteza albert,na wa wametajwa na pfunk kua walichangia kumpoteza...angefanya show cku nyingine angepata watu kama kawaida.....na hilo ni somo kuwa MASS CAN SPEAK LOUDER THAN MONEY......BG UP ANAKONDA THE FINEST...HAHAHAHAHAHAAH HAMISA UMEBUUUUUUUG MEEEEEEEEEEEN

    ReplyDelete

Top Post Ad