GARI AINA YA TOYOTA CRESTER GX 100 INAUZWA KWA BEI POA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gari aina ya Toyota Crester GX 100 inauzwa kwa bei poa kabisa, Number za Gari CJZ 193, ya Mwaka 2001, bei inaanzia Milion 9.8  maelewano yapo , Piga number:0655866440 kwa mawasiliano zaidi....

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. is it 4 cylinder or 6? it matters a lot. please specify

    ReplyDelete
  2. Hili jini umefunga nalo ndoa,NA ukiliuza chin ja mbuzi mzima umfukie chini, CC 2500,gari kama hiyo ikishalipiwa ushuru tu,kuuza ni 4.5-4m. Unless ukaliuze mbeya au songea huko.mjini Hamna WA kumuumiza

    ReplyDelete
  3. Gx 100,105,110,115,120 Zote ni six cylinder NA CC zake ni kuanzia 2000,2500 NA 2700 jipime,ukikosea lazima six likunyoe vinyweleo

    ReplyDelete
  4. Dah nina juta nikinunuwa langu ninatoka pale showroom mikocheni nika mpigia rafiki yangu sm kumjulisha nimenunuw gari Gx 100 AKANIAMBIA MIMBA WARUDISHIYE SIJATOKA ATA Getini wakagoma ninajuta one day ninalichomea pale coco beach

    ReplyDelete

Top Post Ad