HIVI NDIVYO AUNTY LULU ALIVYOHAHA KUMUONA RAIS OBAMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ alinaswa akihaha kutafuta mwanya wa kuonana na Rais wa Marekani, Barack Obama muda mchache baada ya kuwasili nchini.
Aunty Lulu alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Kinondoni, Jumatatu (siku ambayo Obama aliwasili) ambapo alionekana akipiga simu kwa rafiki zake wanaofanya kazi ikulu akiwaomba japo kitambulisho cha kuingia kwenye mkutano aliohutubia rais huyo.
Akizungumza na paparazi wetu Aunty Lulu alisema tangu aliposikia taarifa za ujio wa Obama Tanzania, alifurahi na alikuwa akimuota kila mara kwani huwa akisikia sauti yake akiwa anahutubia anachanganyikiwa ndiyo maana alifanya kila jitihada za kuingia ikulu lakini ilishindikana.
“Jamani serikali ingetuangalia hata sisi jamani tumuone Obama naye atuone sisi wasichana wa Kitanzania tulivyo wazuri, warembo na wakarimu, wageni wengi wakiingia Bongo lazima warudi kwa mara nyingine!” alisema msanii huyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawez kuwa mzima huyo aunt en lulu

    ReplyDelete
  2. ago uongo 2 hta km ni udaku huu xaxa n offside Et “Jamani serikali ingetuangalia
    hata sisi jamani tumuone
    Obama naye atuone sisi
    wasichana wa Kitanzania
    tulivyo wazuri, warembo na
    wakarimu, wageni wengi
    wakiingia Bongo lazima warudi
    kwa mara nyingine!”
    aisee hyo imegoma, tafuta nyngne
    via makavu Live

    ReplyDelete
  3. Uyo boya mnampa promo sana,mwambieni atununui.

    ReplyDelete
  4. Huyo ni changu mzoefu

    ReplyDelete

Top Post Ad