NAMPENDA MTOTO WA MJOMBA WA KIUME-NASHINDWA KUVUMILIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani mie nimeshindwa ngoja niseme tu leo ...Mie ni msichana wa miaka 22 niko chuo UDSM mwaka wa pili , Wazazi wangu wanaishi Mwanza...Hapa dar huwa nafikia kwa mjomba wangu hasa week end huwa natoka hostel nakuja kwa mjomba..Mjomba wangu ana mtoto wa kiume wa miaka 28 nimetokea kumpenda jinsi alivyo mpole na Mstaarabu sana , huwa kila mara anakuja kunitembelea Hostel na akija nakuwa happy sana, Huwa nawadanganya Marafiki zangu kuwa ni Boyfriend wangu..Nampenda sana mpaka siku hizi nimeanza kumtega ili nilale nae ila naona kama bado hajashtukia, Juzi aliingia chumbani kwangu nikajifanya taulo limedondoka ila akatoka haraka na kufunga mlango...Mie nilidhani nae atapagawa na umbo langu ila laaa ...Nifanyaje ? Je kutembea na mtoto wa Mjomba ni Vibaya?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Muulize Baraka shelukindo Kaoa mtoto wa mjomba

    ReplyDelete
  3. Unahitaj maombi..pepo la ngono linakusumbua bint

    ReplyDelete
  4. Utakua sio wa ukweli labda.

    ReplyDelete
  5. wewe acha ujinga utalaleje na mtoto wa mjomba wako huyo si nisawa na kaka yako. tafuta wengine .

    ReplyDelete
  6. Binanu nyana ya hamu apewr halali yako huyooooooo

    ReplyDelete
  7. Makabila hutafautiana kuna makabila yanayo ruhusu binamu kuoana. Swali wewe katika kabila lako binamu wanaowana? kama ni ndiyo, pinga moyo konde mwambiye huyo binamu yako kuwa unampenda naungependa awe baba wa watoto utakao wazaa? Kama katika kabila lenu hawaruhusi hata kama mtalazimisha hakuna atakaye ruhusu ujinga huo maana katika kabila lenu huwo huwa watakuwa wanauona ujinga. kwa hiyo nasema usiwaze, usitamani Muone kama kaka yako wa tumbo moja uliye muacha sengerema (Mwanza)kama binamu hawaowani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani kubaka ni lazima mwanamume tu? Hata wewe unaweza kumbaka, jaribu, ukimfurahisha atanogewa.

      Delete
    2. Binamu kinyama cha hamu walai mtume hapo mapenzi ya kweli kwanza undugu halafu wapenzi (siyo mwana mke/mme siyo nduguyo ) hp ndg ss ruruhusiwe kuoa ndg km zama hz

      Delete
  8. Sio vizur hata kidogo. Hiv huoni aibu! Huo ni uhuni sidhan kama huyo kakako atakuonaje! Ni kutokujiheshimu. Hata uwe na umbo zuri kias gani wakati mwingine wanaume hawaangalii maumbo. Tulia mwenzangu acha tamaa mbaya ni shetan huyo ukishamaliza hilo tendo waweza kujiua kwa aibu. Basi jiepushe kuonana na huyo kakako walau mwezi hiyo tamaa itaisha. Ungekuwa unasoma biblia usingefikiria hayo.

    ReplyDelete
  9. Mbu mbu mbu wa kutupwa sasahilo pumbavu linalotaka kulala na binamu Yale limetokea wapi tena jamanii??!! Hivi ujinga utaisha lini siamini Tanzania inapoelekea. Hata wenzenu waarabu wanashtuka wanaanza kuachana na ujinga wa kuoana ndugu maana Kama mna magonjwa in your genetic imekula kwenu mtaendeleza ukoo wa magonjwa ambapo mngeweza kuepuka. Na ukute hata huyo binamu yako hata hakufeel unajichosha tu na kujidhalilisha bure or else asingetimua mbio baada ya kukuona liuchi lako umeumbukaje sasa una majanga fisi we

    ReplyDelete
  10. jilie mwaya mtoto wa mjomba mtamu mno embu onja uone af unitafute 07734556760

    ReplyDelete
  11. Bila shaka huyu demu anapepo mbaya wa ngono sababu huyo ni kakayake na wanachangia bibi na babu, binamu kwa makabila mengi ya hapa Tz ni haramu, kwa mtindo huu hata babake mdogo anaweza kutamani au hata watoto wa kiume wa babazake wadogo na wakubwa au hata babake

    ReplyDelete

Top Post Ad