Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
“Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay
Awali, Nay wa Mitego ameweka picha ya mchumba wake kwenye Instagram akiwa hospitali na kuandika: Happy bday my lv, Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio tele. Japo imekukuta uko vibaya tumempoteza kijacho bt ni mipango ya mungu, nakupenda sana mke..!! #966# happy bday 2u ma.”
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA
Pole mrembo n happybirthday mungu akupe nguvu pole sana ney wa mitego
ReplyDeletejinga kabisa kila mtu anapoteza mimba mnaona sie wajinga mamaaaae!! WEMA MIMBA ILITOKA PENNY NAE HIVYO HIVYO.............. WASENGE NYINYI MAMAAAEEEE!
ReplyDeleteduuh majanga
ReplyDeleteMnatoa kafara izo mimba mimba ama nini, ni mademu wa mastaa tu wanao toka mimba mbo hatujawahi kuona kwingine mimba zinatoka kirahisi ivo
ReplyDeletemafala sana mnatoa mimba then mnasingizia amedodondoka manniner nyie
ReplyDeletemimba gani inatoka kisa kuanguka ? ilishikiliwa na nini ? kutwa mmevaa vijinsi vya kuwabana tumbo ujauzito gani unaenda hivyo mliambiwa ? mtu mjamzito kutwa klabu na bwanako , mimba gani zinalelewa hivyo ?? acheni ulimbukeni Mimba zinataka stara na matunzo , pia acheni sifa si kila demu wenu akipata mimba mnaweka matangazoo what for ????????????????????
ReplyDeletehovyooooooooooooo
ReplyDeletea lot f pole
ReplyDelete