HATARII....HIVI NDIVYO MADAWA YA KULEVYA YANAYOKUWA TUMBONI KWA MTU ALIYEYAMEZA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya (maarufu kwa jina la Punda)  ni hatari sana kwa afya ya Binadamu 

kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja  na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.

   Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.

 Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.

Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.

 Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.

 Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.

 Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana.

 Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.

   Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.

 Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatar


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Achen kuficha huyo ni Ngwair

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha kuropoka unamjua ngwair ww

      Delete
    2. We kuma kwel eti atakutokea fala kwel mku***u wa bibi yako achana n watu walio mbele ya haki

      Delete
  2. duuuuuuuuuuhm inatisha na ni hatari sana

    ReplyDelete
  3. Hatari sana.. pesa tamu ila its very dangerous. Vijana tamaa mbele mauti nyuma mbona wenyewe matajiri jawabebi?

    ReplyDelete
  4. vijana tuache tamaa za fedha za haraka

    ReplyDelete
  5. uuuuiiiiii,hata nduru haitoshi hapa.

    ReplyDelete
  6. Mhhhh jamanii hii ni hatari sana

    ReplyDelete
  7. jamani kwa stahili hii hakuna uhai kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad