SINTAH "KWA WANAOPENDA KUNICHIMBA MAISHA YANGU NA VYETI HUYU DADA NDIO ANANIJUA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nilifurahi sana pale niliposikia my gal Besta gave birth, i was like heee kumbe tumekuwa wajameni,, haaaa i knew this sweet girl way back from University (sasa kwa wale wanaopenda kunichimba maisha yangu na vyeti huyu dada ndio anajua, sina shida ya kutangaza vyeti vyangu hapa ili iweje khaaaaa ,

 oooh darling im so happy for u , hongera sana, tumefanya vitu vingi sana heee Vogue disco na nini at the end we got responsibilities, wish you all the best and four more (kidding ).

asikwambie mtu mapenzi  yana run dunia

Source:Sintah Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Awe na Cheti asiwe na Cheti it's her business .Huyo
    Mange anaetangaza Sintah Hana Cheti yeye mange chake kafanya nini
    Zaidi ya umachinga kuuza nguo
    VIBARAZANI kupiga Picha kwa Watu
    Kwenye ma lobby kudanganya ndio
    Pake .Wekeni vita vya maana

    ReplyDelete
  2. Sinta huna jipya rubbish

    ReplyDelete
  3. Halafu Sinta haupo sawa kwenye grammar maana english yako ni mbovu sasa four means 4 au for???? Always unakosea plz go back to english course itakusaidia sana....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndo hujaelewa. She meant four more (na wanne zaidi) yan watoto
      Shida ulikalili sana vitbu vya kadeghe na nyambari badala ya kuelewa

      Delete
    2. Dah!mdau bora umewahi kumkosoa yaan kwel we kilaza pamoja na sentensi nzima hata hukumuelewa? Kweli kukarir noma,et 4 or for.aibu unajidai mtaalam wa grama!tehe teheeeee.ila pole kujidai mjuaji noma.ila siku nyngn usikurupuke bana think twice.

      Delete

Top Post Ad