AUNTY EZEKIEL "SINA MIKOSI KAMA WATU WANAVYOENEZA MANENO MITAANI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema hana mkosi kama watu wasiomtakia mema wanavyoeneza maneno mitaani.

Akipiga stori na paparazi wa Ijumaa juzikati, Aunt alisema kuna baadhi ya watu wasioitakia mema ndoa yake wamekuwa wakieneza maneno kwamba ana mkosi ndiyo maana kila mwanaume anayekuwa naye hupatwa na balaa.
Staa huyo aliongeza kuwa haumizwi kichwa na maneno hayo kwa kuwa anaamini kila kinachotokea katika maisha yake ni mipango ya Mungu.
“Maneno yao ni imani potofu na siwezi kumfikiria mwanaume niliyewahi kuwa naye huko nyuma kabla ya kuolewa na mume wangu Demonte kwani hakuna baya lililomfika tangu tulipooana,” alisema Aunt.
-GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndoa za fashion kaz kwelkwel

    ReplyDelete
  2. Ndoa mwachieni ANAKONDA nyie wengine endeleen na tempo

    ReplyDelete
  3. Uyo Mme mbilikimo hakufai te à hana adhi yakuitwa Mme n'a ww

    ReplyDelete
  4. Ndoa ngumu na mke mwema cpatiwa namwomba MUNGU anipatie wangu ila acwe kama Unty

    ReplyDelete
    Replies
    1. Toa no mi mwenyewe nataka mume mwema kakangu ila mifuko yako iwe imetuna na usiwe mbahili lol

      Delete
    2. sitaki shobo! mke/mme mwema hajitajagi.

      Delete
  5. Acha kudanganya watu njoo umuokoe Sunday jela Abu Dhabi watamla kiboga huku

    ReplyDelete
  6. ha!ha!ha! Mdau umenchekesha et wapo tempo

    ReplyDelete

Top Post Ad