JOHARI AJIFUNGIA NDANI KWA AIBU YA KUMPIGA CHUCHU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Brighton Masalu
STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kuishi maisha ya kujificha machoni mwa watu wengi hasa wasanii wenzake,  Ijumaa limeelezwa.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya RJ aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kwa sasa bosi wake huyo hataki kabisa kukutana na baadhi ya rafiki zake wakiwemo wasanii kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kutokana na aibu ya kupigana na msanii mwenzake, Chuchu Hans wakigombea mwanaume.

“Kwa sasa Johari hataki kabisa kuonana na watu wake wa karibu, hata mtaani amekuwa haonekani mara kwa mara, anawakwepa hata wasanii wenzake, hii ni kutokana na lile sakata lake na Chuchu,” alisema mtoa habari huyo.
Ijumaa lilimpata Johari na alipoulizwa juu ya sababu ya kujifungia ndani alisema: “Niko nyumbani, sitaki kutembea sana kwani niko na likizo fupi, halafu hata hili sakata langu na Chuchu bado halijapoa.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wacha maneno yako wewe johari,ucmwogope mtu yeyote kasoro mim2

    ReplyDelete

Top Post Ad