BABU WA KIKOMBE CHA LOLIONDO AWA KIJANA..PICHA KABLA NA BAADA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Duh.acha pesa iitwe pesa....
jamaa alikuwa mzee kabisa sasa ona uso kama kijana kabisa!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa utapeli babu huyu anatisha,ona alivyo wiva utadhani kaungwa na nazi.Poa lakini,wajinga ndio waliwao!

    ReplyDelete
  2. Pinda badala ya kumtia ndani babu kwa usanii,eti na yeye pinda kaenda kupata kikombe cha babu.watanzania tunategemea kikombe kitamuondolea pinda uchovu unaomtesa na huenda akatengua ile amri ya kishetani ya "piga tu!"

    ReplyDelete
  3. Chezea pesa za wizi na kuuwa watu una laana,we babu na utaenda kugeuzwa kuni motoni jizi mkubwa wewe shetani wewe pumbavu zako

    ReplyDelete
  4. Heheheheeeeeeeeee.....Wooooohohohoooooooeweeeeeeee

    ReplyDelete
  5. Hahahahahaaaaaaaaa...heeeeeeheehehehe....woooooeeeeee hahahahaha

    ReplyDelete
  6. Mh.Pinda umepinda kuzidi maelezp,kikombe cha babu hakitakusaidia kitu,endelea tu ma ile dozi yako ya ERV uongeze siku.

    ReplyDelete

Top Post Ad