"TIZI LAURUDISHA MWILI WANGU NA SI VINGINEVYO WATU WANAYOSEMA"RAY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Musa Mateja
KWA wale waliokuwa wakichongachonga wanayoyajua wenyewe, watakuwa wameumbuka sababu staa wa sinema za kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameanza kupata mwili kama zamani.

Kudhihirisha kama mwili wake umeanza kurudi kama zamani, paparazi wetu alimnasa staa huyo katika uzinduzi wa video ya wimbo wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, My Number One uliofanyika katika Hoteli ya Serena, Posta jijini Dar na kuona mwili wa staa huyo ulivyojengeka upya.
“Mazoezi ndiyo kila kitu katika mwili wangu, hayo wanayoyasema watasema lakini mimi ni msanii najua namna ya kuutengeneza mwili wangu kadiri ninavyotaka,” alisema Ray.

Source:GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I love Ray kusema kweli..so cuteee!

    ReplyDelete
  2. Onana nae Hana kwa Ana ndio uje uandike umu I love you zako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nilisha wahi kuonana nae wakati nimetembelea TZ na nilimwambia how much I love him:) so stress zako katafute pakuzitolea sio kwangu! Ray ni mlove mimi..hasira ikushike wewe? Mbona majanga..au wewe mkeweee? Lol

      Delete
    2. fu.......k ?

      Delete
    3. Fu....k? Hell No! Nampenda tu kama binaadam wakawaida and I think ni mcute

      Delete

Top Post Ad