BABA KANUMBA AMPIGA MARUFUKU MAMA KANUMBA KUTUMIA JINA LA KANUMBA KWA NAMNA YOYOTE ILE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali ya kushangaza, baba wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amempiga marufuku mama mzazi wa msanii huyo, Flora Mtegoa kutumia jina la Kanumba kwa namna yoyote.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni baba Kanumba alisema mama Kanumba hana mamlaka ya kulitumia jina la Kanumba kwani hana uhusiano nalo.
“Mimi ndiye mwenye mamlaka na jina la Kanumba kwa sababu ni la kwangu lakini namshangaa mama Kanumba kuendelea kulitumia jina hilo hata kwa watoto wasionihusu kama mtoto wa mwanaye aliyezaliwa hivi karibuni na kuitwa Kanumba Junior.
“Anahusiana nini na hilo jina wakati huyo siyo damu yangu, yeye ana baba yake kwa nini asitumie jina lake, sitaki kabisa atumie jina langu mwanangu ameshafariki na mimi ndiye mwenye mamlaka ya kutumia hilo jina,” alisema mzee huyo.
Akilizungumzia suala hiyo, mama Kanumba alisema: Sitaki kumsikia kabisa,kama vipi aende mahakamani.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawana akl hao baba na mama mtangombanaje jina la m2 ambae alisha kufa baada mumuombee. Dua mnabaki kulumbana kwenye vyombo vy habr

    ReplyDelete
  2. Baba bangi...mama mirungi..very stupid parents..watoto wajibishane kwenye media hata nyie mizee? Hamuoni haya..? We mama kanumba kwnn ucwe unanyamaza tu au na nyie mnasaka umaarufu kwa nguvu?,kwn lazima uwe unamjibu,hujui km kmya ni jibu tosha la mjinga...idiots.........

    ReplyDelete
  3. kaka pesa kitu kingine usishangae hawa waliokuwa wapenzi/wanandoa kufikia hatua hii...pesa inaweza badili mawazo yetu sisi wanaadamu

    ReplyDelete
  4. Weeee baba unawazimu nini! Jina kitu gani bwana?au huna kazi za kufanya?Ushakua mtu mzima wewe achana na mambo ya kitoto.Hongera mdau hapo juu

    ReplyDelete
  5. bahati wa ukweli1 November 2013 at 11:42

    Tamaa mbaya mama naye cku hizi anajifnya msanii njaa yote hii a afikir atapendwa kama mtoto wake kajiunge f/mason

    ReplyDelete
    Replies
    1. we uliyekomenti vibaya kuhusu mama Kanumba mwogope Mungu wako! amekosa nini mama wa watu? Kanumba hakuwahi kuoa, amefariki na ameacha kampuni ambayo inatakiwa iendelezwe ili kumenzi kwa kuwa aliweka juhudi kubwa kwa hilo, sasa kama mzazi ni mrithi na anatakiwa asimamie ili kuhakikisha nguvu za mwanae hazipotei kwa malengo sawa ya marehemu. acheni fukra potofu waafrika, wenzetu huko mbele ndo mana wanendelea, mtu anakufa anaacha pesa nyingi na anaeleza wazi katika wosia kuwa zitumike kwa a, b,c,d na familia husika huendeleza pale alipoishia. sasa mlitaka mama kanumba akae bukoba, nguvu za mwanae zipotee ama? mshangaeni huyu baba jitu zima sperm donor kwa maneno yake lakini huyu mama mwacheni.

      Delete
  6. Zeeee nzma ovyo

    ReplyDelete
  7. hili zee hovyo kbsa!!! natamani nimchape vibao pumbavu zake! halina hta haya

    ReplyDelete
  8. Mhhhhhhhh...kazi ipooi

    ReplyDelete

Top Post Ad