AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MKAZI mmoja wa Sinza Lion jijini Dar, Link Mbaga (25) Jumanne iliyopita alinaswa maeneo ya Sinza Afrikasana na kuchezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira akidaiwa kutaka kuiba vifaa vya kwenye gari aina ya Toyota Harrier, Ijumaa limeinyaka.
Mbaga akisulubiwa na wananchi.
|
Gari aina ya Toyota Harrier walilotaka kuiba power window Mbaga na wenzake. |
“Kabla ya kumalizia zoezi lao mlinzi wa hospitali hiyo aitwaye Jonas Mwakajinga aliwasikia ndipo alipofika na kuwakurupusha,” kimesema chanzo hicho.
Wananchi wakiwa wameandaa tairi tayari kumtia kiberiti Mbaga kabla ya polisi kufika eneo la tukio na kumnusuru. |
Wakati mlinzi akipambana na Mbaga wananchi wenye hasira walifika eneo la tukio na walipopata maelezo walianza kumpa kichapo cha kufa mtu mtuhumiwa huyo wakisema itakuwa fundisho kwa wengine.
Kipondo kikiwa kimepamba moto kwa Mbaga. |
“Mimi kazi yangu ni data manager niko maeneo ya Mlimani City, naishi Sinza Lion kwa Massawe,” alisema kijana huyo.
Mbaga akiwa hoi baada ya kichapo. |
Wananchi wakishuhudia tukio hilo.
|
Polisi wakijaribu kuchukua maelezo ya mtuhumiwa baada ya kuwasili eneo la tukio. |
Polisi wakimbeba Mbaga kumpeleka kwenye difenda. |
Kutokana na hali mbaya ya mtuhumiwa huyo, askari hao walilazimika kumpeleka Hospitali ya Mwananyamala ili aweze kupata matibabu.
Mbaga akiingizwa kwenye difenda. |
Safari ya kuelekea Mwananyamala ikaanza. |
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kamata mwiz meeeeen.....
ReplyDeleteWatapigwa sana tuuu!!!Kuna mijitu mingine inapenda maisha ya mkato.Jamani kama huna huna tuuu!!eeeeh!Kwani lazima wote tuwe matajiri!!Tajirika kwa nguvu zako na uwezo wa Mungu sio kusubiri wenzio wahaso wee uchukue kiulaini tuu.Kufeni kabisa kwani mnarudisha maendeleo ya watu nyuma
ReplyDeletehawa jamaa ni hatari sana, nyie mnaosupport justice ngoja wavamie gari yako utaona uchungu wake
ReplyDeletena watu tulivyo na hasira siku hizi? tunahukumu wenyewe tuu, serikali iko likizo!!!
ReplyDelete