AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwanadada huyu aliyeonesha jeuri ambayo haikutegemea si tu Arusha bali katika Taifa hili hasa lile la kwenda na kuchukua Bastola na kutaka kummaliza askari aliyekuwa akitimiza wajibu wake katika Bank ya CRDB. Kitendo hiki kimelfanya wakazi wa jiji hili kuwa na Maswali mengi kuliko majibu. Hasa juu ya anakota jeuri ama kiburi mwanadada huyu.
Viola alikwenda CRDB kuchukua pesa na kilichotokea yeye alipaki gari eneo lisiloruhusiwa kwa mazingira yale ya Bank. Hivyo askari Polisi alimfuata na kumwelekeza kwamba haruhusiwi kupaki gari eneo hilo ila yeye (Mwanadada) huyu hakutaka kusikiliza alichokuwa akiambiwa. Akashuka na kwenda bank ndani.
Hata hivyo Polisi alimfuata ndani ila cha kushanga mwanamke huyu akagoma tena. Ndipo Polisi kwa ajili ya usalama alirudi nje na kutoa upepo matairi yote ya gari kwa tahadhari. Cha kustaajabisha ni pale binti huyo aliporudi na kukuta hali hiyo alipoulizwa alijibiwa polisi ndiye aliyefanya hivyo. Alichofanya alienda kwenye gari lake na kutoka na bastola ati akitaka kumlenga yule askari polisi ndipo yule askari alipoaamu kujihami na kumshug begani.
Baada ya watu kuchunguza wakajua kuwa kiburi hicho anakitia kwa RC wa Arusha Bwa. Magesa Mulongo kwa kuwa anajipumzisha kwake. Wakazi wengi wa hapa wameshangazwa sana namna RC anavyozidi kuchafua nafasi yake hiyo na hata yule aliyempatia.
Cha kusikitisha zaidi ni RPC kuamua kukimbia waandishi wa habari baada ya waandishi kumfuata na kumtaka atoe maelezo juu ya hilo tukio. RPC kuona waandishi wa habari alimwamuru dereva kugeuza gari na kuondoka jambo lililopelekea waandishi wa habari kuamini kuwa RPC atakuwa amepokea maeleekezo toka kwa RC.
RPC alipopigiwa simu aliishia kusema anaelekea Hospitali kwa kuwa Sukari yake haiko sawa hili limepelekea kuaminika kuwa Mulongo anawaweka viongozi wenzie katika wakati mgumu kutokana na tabia zake hizi.
-Jamii Forums
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Yani huyu dada hata angekufa ni sawa tu coz huwezi kuleta dharau kwa vle unatombwa na kufilwa na mkubwa, mbulula huyu, uwaaaaaa.
ReplyDeleteUmalaya umemponza...wange mbutua ya tako....
ReplyDeleteWangeliua tu ndio jeuri ya pesa au kitu gani?
ReplyDeletepanautata mkubwa hapo...!!!
ReplyDeletePesa za ukubwani tena bila kuzitolea jasho wangemtengua tu kiuno kinachomweka mjini nyambafffff...Tunda la msimu
ReplyDeletesafi sana soldier haki ipo kwenu hakuna cha demu wa obama wala ban ki moon
ReplyDeleteNingekuwa IGP ningempandisha cheo askari husika.
ReplyDelete