INTRODUCING NEW BLOG YA MUKE YA MZUNGU ORIGINAL ANAYE TAMBA KWA MASHAUZI YA KUFA MTU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa wale wote wanaopenda mambo ya fashion, udaku wa mjini wa bongo,afrika kama kenya, uganda,macelebrities wa nje na ndani,ideas za maharusi,kitchenparty, sendoff na birthday parties basi ingieni hii blog ya mke wa mzungu original anayetamba kwa mashauzi ya kufa mtu kuliko wake wa wazungu wote wanaofeki maisha wanaoishi ulaya au nje ya nchi  basi huyu hafeki na anaishi really life.Comments zote kule zinapostiwa za kila aina habanii comments kama wengine, kuweni huru na kujimwaga uwanja ni wenu,uyu si mwingine ni mwanadada anayeishi Germany na blog yake ni http://petridafashions.blogspot.com/
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

45 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh....Tunda la msimu ntarud

    ReplyDelete
  2. Mbona hatuelewi wewe hembu weka hayo maisha yko tuone basi wake za wazungu tuna tabu siye

    ReplyDelete
  3. hehehehhehe mdau umeniacha hoi, haswa wake wa wazungu tuna tabu sie na haya mashauzi aya hongera bibie kwa kuwa bossy wetu sasa maana mna kazi na mashindano ya nani zaini

    ReplyDelete
  4. Naona baada ya mange kufulia siku izi mwingine kaibuka na mashauzi mbona kazi mwaka huu, aya yetu kusikia tu wengine watoibuka ,ila nimefatilia nasikia alikuwaga anakaa Belgium siku izi anakaa Germany mwanzo akuwa na pesa hivi sasa ivi uyu mzungu wake ndo milionea ndo mana kanajishaua ila hata mange hamfikii sasa wala hatamfikia maana nasikia uyu dada anamshiko mrefu zaidi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange kafulia vibaya ila nilivyosikia mange anauza nguo barabarani tuu nikajua kwishney mange.WEWE mke wa mzungu mtoto wa DR Omar Ali Juma Yule wa Zanzibar aliyekufa ( vice president) mtoto wake mtumeee kaolewa na mzungu Ana fedha balaaaa New York hapo.Yupo kimyaaaaa mpole Huyo hata haji onyesshi hayupo Facebook , instagram wala tweet .

      Delete
  5. nyie nanyi mkiona mke wa mzungu tu ndo mumfananishe na mange, kwani mange ndo nini naye si choka mbaya tu wapo wake wa wazungu kibao kimya wala hawajishaui kama hao kina mange wenu wanaofanya umachinga na kulea mume kisa ela za umachinga ,hata uyo dada naye petrida fashion sijui naye wa kawaida tu awe na ela asiwe na ela si hayatuhusu, mke wa mchina

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu mange nae atafute mzungu Mwenye Pesa .huyo mumewe analelewa na mange .mange ulidhani unamchuna kibao kiekugeukaje sasa

      Delete
  6. Kibao kimegeuka mange full stress siku izi, kibao kimemgeukia yeye ndo analea mume na ela za umachinga na wakwe zake wenyewe walishamjuaga kuwa ni gold digger ndo mana wala hawampendi mumewe mwenyewe kashamchoka bibie kaona dalili za kibuti kalazimisha mimba kazi kweli kweli na atazaa sana mwaka huu kama panya ila ndoa ndo ishakuwa chungu mashauzi yote yamemwisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Albert Rwehumbiza ndio alimtia mange na hapo akashtukiwa na mumewe Katika shughuli hiyo akajipatisha mimba .

      Delete
  7. watu wambea jamani,utazani mnakaa nao mnajua kama kachokwa labda kafulia tu ndo mana yupo kimya mashauzi yameisha hata kama kafulia nyie yanawahusu nini? huu ndo umbea.com

    ReplyDelete
  8. nyie nanyi mnavyoendekeza wazungu, kwani wazungu tu ndo wanaela mbona wabongo kibao au waafrika kibao kama nigeria uko au wauza sembe kama mume wa shamimu japo naye anajitia kitanzi kwake uko na majonzi ya kuchukuliwa mume na kajala hawajitangazii? ila kajala naye si alijitiaga shamim dada yake sijui hii ndo inaitwa chekea nyani ule mabua kwikwikwi mjini apa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna mzungu mwingine yuko mbezbeach kaoa mtoto 1 wa ki haya . huyo mzungu anauza vinywaji

      Delete
  9. Mange mimba ndio imemchosha jaman nyie mmejiaje kafulia wabongo bana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kafulia anakaa Kwenye Kiji apartment gorofani 800 square ft .hizo nguo anauza Alipie gari .

      Delete
  10. wote hawa wana dhiki wake wa wazungu wametulia tz wana miliki mahotel kijiji beach na wengine wakina roda, sio hao wana vicent vya cheap holiday, wanaishia kuwa machinga chezea maisha ya ulaya wewe, walijua wamepata kumbe wamepatikana........... pole kwa walio olewa na wazungu maskini too stress now............ ahhhhhhhhhhhh mevamia choo cha kiume lol...na bado na vibabu vyenu

    ReplyDelete
  11. Nyie nanyi wazungu mnawatukuza kwani peke yao ndo wanapesa embu watupishe sie wake wa wauza sembe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wazungu wanajua kupenda bwana askwambie mtu sio pesa pesa kitu gani?jaribu na wwe kutafuta hata mmoja utaona raha yke,chezea wazungu weweee

      Delete
  12. Hivi mzungu wa mange hata kibanda amejenga kweli Bongo au ndio Kelele

    ReplyDelete
  13. Jamani na mimi nataka mzungu hata kama libabu limekongoloka hata kama hawezi kutembea anamihera yake namtaka pia, nani asiyependa maisha mazuri karne hii, niunganisheni na mie jaman maana nasaka sana hao wazungu lakin sipati nimechoka mie maisha haya na hawa wanaume zetu wa kibongo kuhonga wagumu akikuhonga laki moja na nusu na nalea familia haitoshi, msaada tutani namaanisha ndo mana nimeandika ivi msaada jaman, zungu nataka mie.Mariam

    ReplyDelete
  14. msijishau kule mnajitia wazungu mnakandia uku mnawatamani, mbona kina killi janga mzungu babu utazani babu mzaa babu yake,kazeeka hadi meno mengine yameanza kumng'oka lakin kang'ang'ana kisa ela nani ataki maisha mazuri, hata mie nikitongozwa na zungu lenye ela zake hata kama babu nakubali maisha yenyewe ya kupita haya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. bora kili wake anaela kulikowengine wana mibabu hata mia haiwapi inaishia kuwachezea, babu basi hata maisha likupe kuliko kukuchezea na kukuzalisha

      Delete
  15. Nimesikia mzungu wake uyo dada wa hiyo blog anamiliki timu za mipira na pia mkurugenzi kwenye kampuni so anaela balaa ndo mana bibie anafull mashauzi,japo hana roho mbaya ya wivu kama wengine anasaidia kila mtu hata asiowajua nilismsikia kwa mkaka flani ivi akimzungumzia anamjua.

    ReplyDelete
  16. embu nawe tupishe uko anasaidia kila mtu yeye kawa rais wa nchi,kina nani hao aliosaidia hadi umsifie embu kanawe miguu ulale maana unaongea pumba eti anasaidia watu, labda kama ela anazo sawa nazo si zake za mzungu

    ReplyDelete
  17. Guys topic sio ya mange,topic ni ya huyu mwenye vmacho km vdonda,cjui ni mchina anajua mwenyewe...haya we mama mzungu tuambie una kpi kpya....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hello mange Uko Kwenye Internet kiasi kwamba Uko type Kitu tunajua ni wewe ( choice ya words eg. Chief, guys,etc) watch

      Delete
  18. huyo dada ni machinga kama mange, na adm wana ushoga kampa promo hapa hana lolote

    ReplyDelete
  19. Mfateni instagram ndo mtajua mambo anayomiliki ana ela na anajenga saiv uko kigamboni appartments na mzungu wake mlie tu, mtasema mchana wenzenu ndo washatoka ivyo, ila mdau kwikwikwi umenichekesha kuhusu uyo dada eti vimacho kama vidonda au mchina, labda mchina nini ?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe nanye yako mbona usemi wew kibanda chako kipo wapi

      Delete
  20. ila kama mzungu wake anamiliki mpira sijui na mkurugenzi apo juu kama mdau alivyosema basi uenda anaela kweli maana mpaka wanajenga sasa uko kigamboni appartments,bora yake yeye wangapi hata kajumba tu hana hata ka makuti na full kelele,ila mna kazi wake wa wazungu na mashauzi yenu.mnatufanya tuache viboyfriend vyetu kisa tamaa zenu za kijinga mnazotuvutia kunya mavi makubwa kama tembo tuishie kupasuka msamba.

    ReplyDelete
  21. hamtutamanishi ng'oooooo msukuma wangu ataendelea hadi kufa mtu no mzungu mafala tu hao wazungu.

    ReplyDelete
  22. ila na nyie wanawake mkiolewa na wazungu mtulie basi,kuna mji niliwahi kuishi Belgium kuna wanawake 4 wa kibongo wameolewa na wazungu lakini walikuwa wanagongwa na black people.siyo hapo tu, case kama hizo zipo sana. hivi hawa jamaa game hawawezi nin?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata walioolewa na weusi wanaongeza na weusi wenzao .dunia umebadilika Wanawake Wana Pesa sasa hivi

      Delete
  23. MWISHO WA SIKU DUNIANI TUMEKUJA KUTEMBEA, KIFO KINATUNGOJA JARIBUNI KUFANYA YALIYO MEMA, YA KUMTUKUZA MUNGU NA KUSAIDIANA HAYO MAJUMBA SIJUI MANININ HAYATA WAFIKISHA MBINGUNI , WANAWAKE MMEKUWA BINAADAMU WA AJABU SANA KAMA VILE MTAISHI DUNIANI MILELE LOL ! MRUDIENI MUNGU WENU NAWAHUSIA


    DADA MKUBWA

    ReplyDelete
  24. Me mzungu wangu mwarabu!! Kwani hata mwarabu c mzungu?! Kaninu nulia vitz na nina glocery mabibo.

    ReplyDelete
  25. Me mzungu wangu mwarabu!! Kwani hata mwarabu c mzungu?! Kaninu nulia vitz na nina glocery mabibo.

    ReplyDelete
  26. mange atabaki kuwa original muke ya mzungu,,,, hata dhamani manabii fake walikuwepoooooooo... huyu ni fake na germany is too cold kwa mashauzi ........ kitu USA WEEE KWA CELE..........

    ReplyDelete
  27. Mange wenu ashafulia hana kitu sasa, kachakaa kama wimbo was shaa sugua gaga,hata mie mke wa mchina namvuto

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange alikuwa DUBAI bwana da sasa hivi maskini mtoto wa Watu Mie namuonea huruma kwa sababu Yule mzungu hayupo motivated Kama yeye .Inabidi atafute motivated partner .Mzungu wa mange Hana Pesa " mamas boy Inaelekea " .Mange alifanya mistake kubwa sana kupata mimba ya pili na Huyu mzungu .Maisha yenyewe taabu .maana alitangaza Kwenye blog yake alipata miscarriage baada ya week oh Mimi mjamzito .Lazima alikuwa anataka kuitoa .Bongo angefanikiwa saana ila USA hapa hee

      Delete
  28. we nawe wa wapi maisha europe bibi wee USA hamna kitu siku izi ndo mana macelebrity wote wanakimbilia europe maholidays kuja kujirusha eti germany baridi kakudanganya nani? mi naishi sweden ni europe nakupa experiance jinsi europe ilivyo tamu na ndo mana makaratasi kupata shida maana ni kuzuri na kila mtu anakimbilia walau tu aishi hata kwa shida au dhiki abanane tu mladi awe europe utajibeba

    ReplyDelete
    Replies
    1. UTAWADANGANYA AMBAO HAWAJAFIKA ULAYA DADA YU CANT COMPARE EUROPE NA AMERICA UTACHEKWA

      Delete
    2. WEW MWEU UNATAKA KUSEMA GERMANY HAMNA BARIDI

      Delete
  29. Anatumia jina gani insta huyo dada

    ReplyDelete

Top Post Ad