VIDEO YA FUJO ZILIZOTOKEA UWANJA WA TAIFA JANA WAKATI SIMBA ILIPOTOKA SARE YA 1-1 NA KAGERA SUGAR

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

October 31 2013 kulikua na mechi ya Simba vs Kagera Sugar kwenye uwanja wa taifa ambapo timu hizo zilitoka 1-1 huku goli lililoleta malalamiko likiwa ni la Kagera Sugar ambalo lilifungwa kwa njia ya penat.
Kocha wa Kagera Sugar amesifia maamuzi ya refa na kusema ‘nafurahi timu imesawazisha kwenye dakika za mwisho na refa amefanya kazi yake kwa sababu ni siku nyingi sana marefa hawagawi penat kama hizo, timu nzuri inacheza mpaka goli’

Kocha Kibaden wa Simba kasema ‘nashukuru tumemaliza mpira salama na vijana wametoka salama, sijafurahishwa na jinsi mpira ulivyochezeshwa, sitaki kusema hayo kwa sababu watu wana macho na wanaweza kukosoa lakini uamuzi haukuwa sawasawa, kama tutaendelea na mpira wa aina hii nafikiri tutaondoka kwenye mwelekeo…
naomba TFF mpya iliyokuja ijaribu kutazama watu wapumbavu wa aina hii wanaokuja pale kuwaudhi watu, sijafurahishwa na mpira ulivyochezeshwa mwanzo hadi mwisho na nilijua kitatokea nini’
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuharibu aharibu REFA halafu washabiki WAVUNJE VITI c majanga hayooo?

    ReplyDelete
  2. Kagera oyeeeeeee simba bhn mtakikufungwa

    ReplyDelete
  3. Wanaume wazima ovyo mkaharibu mali ya umma kisa ushabiki mandazi inahuuu...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  4. wamevurugwa haooooooooooooooooooooooo...............na bado mtavunja sana kwan mwaka huu hata nafas ya tano cjui kama mtaipata

    ReplyDelete

Top Post Ad