HIVI NDIVYO UWANJA MPYA WA MICHEZO HUKO BRAZIL ULIVYOBOMOKA NA KUUWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni watu wawili wamepoteza maisha baada ya kubomoka kwa sehemu ya uwanja mpya wa mpira wa miguu kwenye mji wa Sao Paulo, uwanja mbao ndio unatarajiwa kufungua mashindano ya kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.

Wawili waliopoteza maisha walikua miongoni mwa Wafanyakazi wanaojenga uwanja huo ambapo kubomoka kwa uwanja huu kulitokana na kufeli kwa crane ambapo waliofariki ni Fabio Luiz Pereira, 42, driver/operator of the company BHM Munck pamoja na mjenzi Ronaldo Oliveira dos Santos, 44.

Viwanja vyote 12 vitakavyotumika kwenye mechi za kombe la dunia vimekua vikijengwa kwa kasi ili kumalizika kwa muda uliopangwa na FIFA ambao ni December 2013.
















----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Polen ndungu na jamaa huko mlipo ni bora uwanja huo usijengwe tena kwani itakuwa ni majanga kwa badae mashabiki

    ReplyDelete
  2. Ety ronaldo kwakua ni brazil......inamaana kina ronaldo wako wengi?.

    ReplyDelete
  3. Duh polen saana

    ReplyDelete

Top Post Ad