AMANDA AANIKA CHANZO CHA USAGAJI KWA MASTAA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Mwandishi Wetu
MSANII wa filamu, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefungukia sababu za baadhi ya mastaa kujiingiza kwenye tabia chafu ya usagaji akidai kuwa, kutendwa na wanaume ndiyo chanzo cha yote.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Amanda alisema maudhi ambayo baadhi ya mastaa wamekuwa wakiyapata kutoka kwa wapenzi wao waliotokea kuwapenda ndiyo husababisha baadhi yao kuona suluhisho ni kuhamia kwenye usagaji.

“Wasanii wanajiingiza huko sababu wanaumizwa na wanaume, wanadhani usagaji ni raha, wanaona hii ni njia sahii ya kujituliza,” alidai Amanda huku akikwepa kujibu swali la kama naye yumo kwenye kundi la wasagaji ama laa.
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo ni la hawa wasanii kupenda watu maarufu wakidhani ndo watapata wapenzi badala ya kutafuta mpenz wa kweli

    ReplyDelete
  2. Wanapenda kuwana watu maarufu wakati waohawawataki! wanaishia kuwachezea wakiwachoka wanawatupilia mbali, acha wajifunze!

    ReplyDelete
  3. Wasanii wetu wanatakiwa waelimishwe Nini maana ya USANII.maana HAWAJITAMBUI,HAWAJIELEWI wala HAWAJIJUI.Shame upon your face!!

    ReplyDelete
  4. kwa hiyo siku chai ikichemka mkashtukia hamna sukari mnaweka nini?
    mnaongeza maji, mnatia chumvi, unga , au mchanga?

    ReplyDelete
    Replies
    1. sijakuelewa, unamaanisha nn hahahahahaha majanga

      Delete

Top Post Ad