AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Imelda Mtema
LICHA ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, msanii huyo ambaye alibadili dini kutoka ukristo na kuwa muislam baada ya kuolewa na mumewe, Sunday Demonte alisema anajisikia kurudi kwenye ukristo kwa madai ya kumtumikia Mungu kikamilifu.

Akionesha msisitizo katika hilo, Aunt alisema moyo wake umekuwa ukitamani kusikiliza mafundisho na mahubiri ya kikristo pamoja na kusikiliza nyimbo mbalimbali za injili.

“Natamani sana kuokoka, mara nyingi nikisikia mahubiri au nyimbo za injili, moyo wangu hupata faraja kubwa sana,” alisema Aunt.

Wakizungumzia mawazo ya kuokoka ya msanii huyo, baadhi ya mashabiki wake walimshangaa huku wakionesha wasiwasi wake juu ya kusilimu na kudai huenda kubadili kwake dini ilikuwa danganya toto.

“Huyu si aseme tu uislam umemshinda? Kasilimu juzijuzi tu hapa na kudai ameanza kusali msikitini, leo anatuambia anatamani kuokoka, hawa mastaa wetu wanamchezea sana Mungu,” alisema Rahma wa Kinondoni jijini Dar.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

40 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani ivi watu siku hizi wanautani na Mungu!?

    ReplyDelete
  2. Siyo kwamba wana mtania MUNGU isipokuwa amegundua niwapi alipokosea DADAusihofu Njoo kwa YESU! yeye ndiye njia yakweli nauzima! huko ulikuwa umepotea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aje kwa Yesu wakati Yesu amekufa long time!! Embu muacheni Yesu a R.I.P

      Delete
    2. Kagundua kule kwingine mapepo matupu.

      Delete
    3. Na usisahahu Yesu alifufuka na kupaa mbinguni pia alikufa siku mbili tu ya tatu alifufuka na walinzi wa kaburi wakabaki wametumbua macho. Na walionda kutembelea kaburi walilalikiwa na malaika na kupewa habari njema za ufufuko wa

      Delete
  3. huyu mtoto anaonekana mtamu sana.

    ReplyDelete
  4. hamna m2 anaekosea kuchagua dini lekebisha kauli coz uyo ni m2 mzima anatambua baya na zuri

    ReplyDelete
  5. alifuata hela za sembe, sasa biashara imedinda

    ReplyDelete
  6. Uncle samy singida. Hakuna ulokole hapo, FREEMASON ndo inawatesa wanapo kosea masharti, wote hawa wanaovuma mwisho wakitakiwa wanaanza kuhaha mara naokoka mara masjidi wp! Mwisho kfo cha ghafura kama bossi ao kanumba, na baada ya miaaka 40 ijayo dunia itaendeshwa KIFREEMASON na MAZOMBI yakuwa mengi sana co kama unaamua kumfuata MUNGU mfuate kw roho na kwel. By uncle samy

    ReplyDelete
  7. Njoo nikutombe kwaza ndo uende!

    ReplyDelete
  8. karibu sana,yesu ndie njia ya kweli tena uzima bila njia hii umepote

    ReplyDelete
    Replies
    1. TENA mama RWAKA*** ATAMPOKEA HADI CHUMBANI KITANDANI….MAANA NDIO MUWAKILISHA WA MUNGU ….

      Delete
  9. Acha kutanga tanga, tulia

    ReplyDelete
  10. Hana lolote huyo ameona hajaandikwa siku nyingi basi bora atowe mpya hovyoooooo sasa si yende tu akaoke!

    ReplyDelete
  11. Na aokoke kabisa aache kutuvalia uchi

    ReplyDelete
  12. ahaaa uslamu unamshinda chezea maadili ya uislam maana kila analofanya anaona yupo kinyume na uislam yangoswe muachie ngoswe umezoea vya kunyonga vyakuchinja uviwezi inalilaih wainalilaih lajiunih

    ReplyDelete
    Replies
    1. uislam sio dini ya mchezo na majaribio na ndomana wasanii wengi wanaokimbilia huku wanachemsha coz dini hii inakutanabaisha wazi wewe ni mtu wa upande gani kesho siku ya kiama peponi au motoni mapema kabla hujafa kwsbb kila kitu kishaandikwa katika Qur-an yetu tukufu.

      Delete
  13. Huyo hanafata moto mwacheni haokoke moto wamsumbiri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naona we mwenzetu ni karani wa peponi maana unajua nani moto unamsubiri hongera sana

      Delete
  14. Kubsdili dini kwa sabb ya mwanamke Ana mwanume kutokumuogopa mungu na Ni upumbavu.

    ReplyDelete
  15. Njoo kwa yesu yy ndiye njia ya kweli na uzma ata waislam wamemkubali ila wanajishaua bado mapema yu karibu na ww yy amesema njooni nyote ulioelemewa na mizigo nami nitawapumzisha ndo mizigo yenyewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yesu alikufa long time embu mumuache a rest in peace!! Khaa

      Delete
    2. Anony 9:13 am, acha kucheza na imani za watu.usipende kuongelea mambo ambayo huna uhakika nayo.ongea facts na sio hisia zako

      Delete
    3. U mean Anony 9:33? Kwani uongo Yesu sialikufa msalabani jamani!! Kila wakati kumtaja taja alie tangulia mbele za haki sio vizuri.

      Delete
    4. Nyie yakiongelewa ya mtume wenu Muhammad hapa mnabeba mapanga, marungu vurugu kila kona...nyie watu mnapenda sana kuwa provoke wenzenu.wewe Muhammad wako hanihusu na mm Yesu wangu hakuhusu tuheshimiane

      Delete
    5. Hatupendi kuongelea walio kufa ndio maana mkimuongelea Mohamed SW tunaandamana mumuche a R.I.P ! Alafu mimi sijamuongelea Yesu vibaya nimesema aachwe apumzike kwa amani. Relax

      Delete
    6. Soma vitabu vizuri uelewe Yesu alifufuka na alipaa, his name is still strong ndo mana mapepo yanatetemeka na kukimbia kwa jina lake, wagonjwa wanapona kwa imani kwa jina lake.Usipende kusema mambo usiyokuwa na uhakika nayo.

      Delete
    7. Hehehehhehe sawa bwana , me sikuwa nania yoyote mbaya... nilikuwa naongelea nijuwavyo kuwa yesu alikufa msalabani basi. Relax

      Delete
    8. aunt rudi kwa Yesu wako huyo ndio mtetezi wa maisha yako ya duniani na mbinguni. ACHANA NA HAO WASIO JUA MAANA " asiyejua maana haambiwi waana" HAKUNA KUMZALILISHA YESU WETU RUDI UTAKUWA KIUMBE KIPYA. But urudi kwa roho na kweli mwisho wasiku usije ukawa popo si ndege si mnyama " si YESU si mtume" utajuta kuwa fahamu,

      Delete
  16. Acha kumchezea Mungu na hii dini si ya kutania kuwa kwako muislamu ni Mungu amekuongoza katika kheri la muhimu kwako ni kumuabudu mungu kwa dhati ya moyo wako na kuacha makatazo yake..Dunia hii isikudanganye dada kumbuka kuna kifo na hujui lini utakufa..Sasa we endekeza umaarufu halafu uone mwisho wake maana ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka kwa hiyo Dada ifanye dunia kama mkondo wa maji na matendo mema ndio jahazi la kuvukia..BY OCHU THE DON

    ReplyDelete
  17. Aende mwenge kwa kwa mtume na nabii aone kama apigwi mimba na mtoto handsone alaf sunday aende mahakamani kudai fidia, chezea wanyumbi hii wewe!

    ReplyDelete
  18. Naona Amemiss skendo..! Na hvi mwaka unaisha bila hata kuuza sura kwenye Udaku.. Pole sana dada..

    ReplyDelete
  19. Unajua xiku zote mtu akipata ugonjwa au matatizo ndo anakumbuka kuokoka kwa iyo na huyu dada nina mashaka nae

    ReplyDelete
  20. Tatizo pesa ya sembe ishaisha basha Wako yupo jela Abu Dhabi unataka kugeuka kama jack na mungu kamuonesha na yeye kazi IPO n

    ReplyDelete
  21. Yesu (nabii issa) pia ni mtume wetu.nahakufa bali yuko hai.na atarudi tena duniani.kutangaza dini ya mwenye ezimngu.alie sulubiwa ni rafiki yake.nabii bado yuko hai.huyo dada.amekosa kufanya mambo yake ya uchafu.ndio sasa anaona tabu.dada duniani hutoishi milele.kuna siku utaondoka kwenda kupambana na mola wako.hayo unayo yataka hayatakusaidia.rudi kwa mola wako.muepushe sheitwani.wakati wowote, saa yoyote, siku ni moja tu.muogope mola wako.

    ReplyDelete
  22. Haijalishi kuwa Mkristo au Muislamu Binadamu anatakiwa kufanya mazuri kwake binafsi na jamii inayomzunguka Wacha Mungu aitwe Mungu we jiulize kwa nini tumeumbwa watu wa kabila na rangi , na nywele za kila aina kama kuabdilisha dini ni issue badili na kabila na rangi yako utabaki kujidanganya tuu ni upuuzi usio na mfano na ni dalili ya mtu kushindwa kujitafakali na kujitambua

    ReplyDelete
  23. Mchanganyo, mchanganyo Bwana Yesu amekataa, leo kanisani kesho msikititi Bwana Yesu amekataa so aunt be care

    ReplyDelete
  24. neno litasimama, utazunguka dini zote, yadunia yote utayafanya lakini mwisho wasiku neno la Mungu litabaki palepale, na watumishi wake wanaendelea kuhubiri kila kukicha sasa wewe ndugu yangu hujielewi acha kuwa popo, "SIMAMA IMARA USIWE KAMAPOPO SI NDEGE WALA SI MNYAMA" usiwe vuguvugu, kama moto kuwa moto kama baridi kuwa baridi ukiwa vuguvugu Mungu atakutapika siku ya mwisho

    ReplyDelete
  25. okoka mwaya...i stl hav a choice!

    ReplyDelete
  26. baada ya demonte kukamatwa anataka kurudi ukristo ili aolewe tena hana lolote umalaya tu

    ReplyDelete

Top Post Ad