BOB JUNIOR"NDIO NI NGUMU SIKUWA NA FURAHI...SITAOA TENA..UBACHELOR RAHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Masharobaro, Bob Junior amesema hakuwa na furaha kwenye ndoa yake na ndio maana ameachana na mke wake.

Muimbaji na mtayarishaji huyo wa muziki aliiambia tovuti ya Times FM kuwa ugumu wa ndoa umemfanya asifikirie tena kuoa maishani.

“I’m single, sitaoa tena…mimi niko single na sitaoa tena. Kwa sababu nimeona ugumu wa ndoa na wepesi wa kuwa bachelor. Kwa hiyo nimeamua kuwa bachelor na siwezi kuoa tena, sioi tena jamani I’m single. No more kuoa Bob Junior,” aliiambia tovuti huyo.

“Unajua unapokuwa kwenye mahusiano ya boyfriend na girlfriend, hamna ile ‘uko wapi sasa hivi, rudi haraka nyumbani’, umeenda kwenye show ukirudi mara kanuna.”

Bob Junior aliiambia tovuti hiyo kuwa ndoa yake ilikuwa ikirudisha nyuma maendeleo ya kazi yake kwa kuwa katika siku saba za wiki ni siku mbili tu anakuwa na furaha, na kwa kuwa kazi yake inategemea ubunifu na utulivu asingeweza kufanya kazi vizuri.

Alisema mkewe alikuwa na wivu kiasi cha kuiingilia hadi ukurasa wake wa Facebook na kuwatukana watu waliokuwa wanachat naye
Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ww una elements za shoga,nani.asiekujua?kiasi uongee hivyo.

    ReplyDelete
  2. bob ni kuma kafiri mkubwa huyo

    ReplyDelete
  3. Huyo kishazoea ushoga hawezi kuishi namke!

    ReplyDelete
  4. huna lolote ww unataka kuolewa kwan ww ni importence(functionless)

    ReplyDelete
  5. ....searching....

    ReplyDelete
  6. Bob wacha zako lazima ukubali majukumu

    ReplyDelete
  7. Wkt unaona ulitegemea kutoulizwa y girlfriend ulimpenda umemzalisha humtaki bwege chezea wengne katafute ngoma

    ReplyDelete
  8. alozowea va kusongonyoa vakuchinja haviwezi...!!bob unamanisha umeridhika na maisha ya kuzini kuliko ya ndoa yako ya halali..kati dini inasema mwenye kufunga ndoa nisawa na kusimamisha nusu ya dini..unakimbiliya dunia kati sote ni wapita njia..pole.kaka

    ReplyDelete

Top Post Ad