BABY MADAHA KUZINDUA FILAMU YA "THE GAL BLADDER" LEO NDANI YA UKUMBI WA AKEMI HAPA DAR

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Mwanadada anayefanya mambo mengi sana kwenye muziki na filamu Baby Joseph Madaha anatarajiwa kufanya uzinduzi wa filamu yake mpya ya The Gal Bladder hapo kesho kwenye ukumbi wa mgahawa wa Akemi jijini Dar es Salaam.

Akizungumza alipotembelea ofisi za Bongo movies leo mchana, baby Madaha amesema kuwa uzinduzi huu utahusisha waalikwa tu na sio wa viingilio kama ilivyozoeleka kwenye uzinduzi wa vitu mbalimbali hapa nchini.

Katika uzinduzi huu baby Madaha pia anatarajiwa kuzindua nyimbo zake nyingine mbili mpya alizozifanya chini ya label ya Cand and Candy ya jijini Nairobi Kenya ambazo zitajumlisha orodha ya nyimbo nne alizoziachia katika kipindi cha miezi mitatu.

_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahaaa!! dah yaan baada ya kutafuta kiki kwa mda mrf kupitia diamond@ ok umeweza

    ReplyDelete
  2. Hv hyu dd anamba nyimbo gan mi mbna siijui ht moja

    ReplyDelete
  3. Hv hyu dd anamba nyimbo gan mi mbna siijui ht moja

    ReplyDelete
  4. Yan nae huyu kajikomba kwa diamond xaxa ameamua kutangaza huo ubwege wake

    ReplyDelete
  5. Huyu dada naye naanza kuamini kama alikuwa anatafuta kiki kwa Diamond, Wakati Diamond anazindua Number one pale Serena Hotel tena kwa bure kwa waalikwa yeye alijitapa na kusema yeye atafanya uzinduzi wake pale Golden Tulip Hotel sasa mara hii anasema atazindulia kwenye ukumbi wa Mgahawa, Nimekubali we Madaha bado mtoto kwa Diamond sema ulikuwa unatafuta KIki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad