DR.SLAA:WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NAE ANAPASWA KUJIUZULU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),Dr.Wilbroad Slaa amesema serikali nzima na Baraza la Mawaziri linapaswa kujiuzulu na kwamba kitendo cha kujiuzuru kwa mawaziri wanne tu hakitoshi na badala yake amesema Pinda kama "kiranja" mkuu anapaswa kuwajibika.

Dr.Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara huko mkoani Tabora.

CHANZO:ITV
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni.sawa Katibu hayo unayosema na.nyny.mnokifanya.chama.kampuni ya watu maalum, vp haistahili kujiuzulu?au nyani haoni kundule!

    ReplyDelete
    Replies
    1. eh we wanatakiwa wajiuzulu

      Delete
    2. Uko sawa kabisa aonyeshe mfano kwanza yy na mboo kujiuzulu ndipo awataje na wengine.

      Delete
    3. kasahau kuwa na yeye anatakiwa kujiuzuru shwain huyu

      Delete
  2. oh ok nanyi pia mnatakiwa mwajie ngazi ndan ya cdm ili wanaoweza kama kina zito wachukue nafasi;

    ReplyDelete
  3. Dr. Slaa zungumzia yanayokuhusu ya waziri mkuu hayahusiani na masuala ya utawala kikanda wa cdm.

    ReplyDelete

Top Post Ad