HUYU NDIO ALIYE CHAGULIWA NA RAISI KUWA MKUU WA JESHI LA POLISI BAADA YA IGP MWEMA KUSTAAFU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Desemba 30, 2013, amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa usiku wa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa Kamishna Mangu anachukua nafasi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini anayestaafu, Saidi Mwema.
Kabla ya uteuzi wake unaoanza keshokutwa, Januari Mosi, 2014, Kamishna Mangu alikuwa Mkurugenzi wa Inteligensia ya Jinai (Director of Criminal Intelligence) katika Jeshi hilo la Polisi.
Aidha, taarifa hiyo inasema kuwa Rais Kikwete amemteua Kamishna Abdulrahman Kaniki kuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, ambayo ni nafasi mpya katika muundo wa sasa wa Jeshi la Polisi.
Kabla ya uteuzi wake, Kamishna Kaniki alikuwa Kamishna wa Uchunguzi wa Kijinai (Commissioner for Forensic Investigations). Mkuu wa Jeshi la Polisi mpya ataapishwa kesho, Jumanne,  Desemba 31, 2013 katika Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi! Akipatiwa na waziri mpya wa mambo ya ndani kazi itakwenda vizuri!

    ReplyDelete
  2. Safi! Akipatiwa na waziri mpya wa mambo ya ndani kazi itakwenda vizuri!

    ReplyDelete
  3. Waoo, bora jamani me nampenda saana huyu!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mpe MKUNDU kama unampenda sana

      Delete
  4. We fara ayo yote mafidi we unasifia angemteua lema

    ReplyDelete
  5. Mwingine eti anampenda mpe kuma atombe

    ReplyDelete
  6. arekebishe masilahi ya watumishi wa jeshi la polisi

    ReplyDelete
  7. Sijui wewe unayeandika matusi unajua ni dhambi ukifanyacho

    ReplyDelete
  8. Ampe kuma ulijua ni mwanamke? Msenge kweli we anoy10:36. Kama ni msenge mwenzako je?apumuliwe kisogoni kama wewe eti eee

    ReplyDelete
  9. tumuombee Mungu huyu afanye kazi bila kuwa na itikadi yeyote, asiegemee kwenye chama chochote cha siasa, Mungu akubariki.

    ReplyDelete
  10. Pole Andengenye na Kova kampeni zenu zimekwama kutwa kupakana matope Hongera Raisi wetu kwa surprise ya nguvu krb IGP mpya na kwaheri Said Mwema ulijaribu na umeacha legacy ingawaje wasaidizi wako walikuwa wanajaribu kukuangusha siku zote tutakukumbuka kwa ulinzi shirikishi na polisi jamii

    ReplyDelete
  11. Humu ndani Wengine wana andika vizuri mbk una furah kusoma wengine mh huwez amin hawana jema wao matusi tu kweli binadamu tumetofautiana ni hayo tu me nasepa

    ReplyDelete
  12. Nawe mdau hapo juu umeona eeh?yan kuna watu jaman kila uchao ni kutukana matusi tena ya maungoni mm huwa najiuliza wametokea vidoleni, machon au wap wenzetu.Ukikoment vizuri kwa lugha ya utulivu utaeleweka tu sasa mitusi juu jaman kwanza unakuta unaonyesha jinsi gani ulivyo kichaa kichwani.Badilikeni jaman wote mnaotumia matusi humu.Basi muogopeni hata Mungu basi muache kutukana hovyoo..khaaaa

    ReplyDelete
  13. Waboleshe jeshi lapolice iliwaweze kujali kazizao maana wanatamani maisha yaulaiyani

    ReplyDelete
  14. UNAJUA MTU AKIWA ANATUMIA MAJI YA CHOON KUSUKUTULIA MDOMO NA MANENO YAO HUWA MACHAF TU CKUZOTE KWAN MTU KUMPENDA MTU N TATIZO ?MPAKA AMPE K

    ReplyDelete
  15. Kamanda chapa kazi achana na wanasiasa wote si wema kwako

    ReplyDelete
  16. Jameni acheni mitusi wazazi wangu.

    ReplyDelete

Top Post Ad