KANYE WEST AZINGUANA NA RAIS OBAMA WA MAREKANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo baada ya raisi wa marekani kumuita Kanye kuwa ni "Jack Ass" yaani mtu mjinga ama Chizi hivi ...

Mwaka 2009 kwa mara ya kwanza Obama alimwita Kanye Jack Ass baada ya Kanye Kupinga ushindi wa Taylor Swift kushinda tuzo ya Best Female Video MTV ..Kanye West alivamia jukwaa na kupinga uteuzi huo....
Juzi Tena katika Mahojiona fulani na TV moja Huko Marekani Obama Aliulizwa Jay z na Kanye Yupi Unamchagua Ombana Akajibu Jay z, na Obama akaulizwa kama bado anamchukulia Kanye kama Jack Ass ..na akajibu hivi:
He is a jackass,” Obama said. “But he’s talented.” 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kanye West tangia amtoroshe Kim ni km kawa chizi hivi..na umarufu wake umeshuka kwa 60%

    ReplyDelete
  2. Obama, alimtokeaga Kim kipindi Wanafanya Playboy tatizo ndo hapo!

    ReplyDelete
  3. Huyu obama nae mwehu, ye anaacha kushuhulika na mambo yake za siasa, anashuhulika na wasanii why??. fanya yako bhana ya kanye muachie kim!!. alaaah!

    ReplyDelete
    Replies
    1. yeye kaulizwa swali ulitaka asijibu? eleweni story msikurupuke to kusema .

      Delete
  4. Kwel bhana hakuna kuogopana fnya yko nifnye yngu

    ReplyDelete
  5. Habari zote kuwahusu Kim na Kanye utazipata katika blog ya http://bkuhabari.blogspot.com

    ReplyDelete

Top Post Ad