MBUNGE AMSHAURI RAIS KIKWETE KUMG'OA WAZIRI MKUU PINDA ADAI HAWAJIBIKI NI MPOLE MNO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dodoma. Rais Jakaya Kikwete, ameshauriwa kumng’oa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ikielezwa sababu kuwa ndiye kikwazo katika utendaji wa Serikali na kwamba akiachwa ataipeleka pabaya Serikali na CCM

Kikwete pia ameshauriwa kumfukuza kazi Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia, kwa kushindwa kukabiliana na matatizo ya ubadhirifu katika halmashauri nchini.

“Kama (Rais) unaitakia mema nchi na CCM kuchukua hatua za kuwafukuza kazi Pinda na Waziri Ghasia,” alisema Mbunge wa Mwibara, Khangi Lugola (CCM), juzi alipochangia taarifa za Kamati za Bunge kuhusu hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 mwaka jana.

“Kwa nini Watanzania wafe kwa kunyimwa misaada na wafadhili kwa sababu ya mtu mmoja tu Pinda, kwa ajili ya Ghasia ameiendesha Tamisemi kama Saccos ama Vikoba?” alihoji.

 “Mchawi wetu ... ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda amekuwa mpole mno hawajibiki,” alisema Mh. Lugola na kuongeza, “Kuanzia jana (juzi) Waziri Mkuu anahudhuria mahafali.”

Wakati Lugola akizungumza mawaziri waliokuwepo bungeni ni wanne, manaibu mawaziri wawiliwawili, wakati  mawaziri wote 53.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aina haja ya kumtimua Pinda,nature will take decision that's to say Chadema tukichukua nchi Pinda na CCM yake itakua mwisho wao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndoto za mwendawazimu
      "mke ya masamaki"

      Delete
  2. Hakuna haja yakuwa na mawaziri wapumbavu kama hawa, hata rais pia ni wale wale

    ReplyDelete
  3. kuwa mwana ccm tayari ni tatizo hivyo acha vipofu waongozane wakianza kulalamika ujue mambo yamewashinda omben msaada chadema tuwape mbinu

    ReplyDelete
  4. Chadema,,,,,,,wapewe nchi!Mungu wangu majanga,ikulu moshi halafu kama huna pass hutaingia moshi,chama cha wachaga hicho jamani,lema anataka nafasi aliyovuliwa zzk,subirni kama hajapewa chezea chagga wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. unatumia kinywaji gani?
      says
      "mke ya masamaki"

      Delete
  5. Achen ku insist ukabila,wewe kama ni CCM kaa na CCM yako ya muendelee kuuza sembe kama kawaida yenu,ila CHADEMA tukichukua nchi mjue ni kushney.

    ReplyDelete

Top Post Ad