MARTIN KADINDA AFUNGUKA BAADA YA ULE UJUMBE WA JACK CLIFF WA WOSIA KUSAMBAA MTANDAONI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadinda anayedaiwa kuwa meneja wa zamani wa Jackie Cliff amesema hajapokea ujumbe wowote kutoka kwa mwanadada huyo anayeshikiliwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko Macao, China alipokuwa akitokea nchini Thailand.

Martin ameiambia tovuti hii  kuwa ujumbe uliosambaa katika mitandao, uliandikwa na Jackie mwaka 2010 ambapo alikuwa akimaanisha mambo yaliyokuwa ‘personal’ zaidi.

“Ujumbe uliosambaa ni wa Jackie kweli ila ni wasi kunyingi sana mwaka 2010. Kwahiyo watu walivyoona unafanana na tukio hili wakaona waambatanishe. Nakumbuka ujumbe huu aliuandika sio kwa tukio kama hili yalikuwa ni mambo ya personal,” amesema Martin.

Hata hivyo Martin amesema hawezi kuzungumzia suala la Jackie kukamatwa na dawa za kulevya kwakuwa yeye siyo msemaji.
Jackie Clifford FitzPatrick alikamatwa na madawa ya kulevya Dec 19 mwaka huu akitokea Thailand kwenda Macao alikokamatiwa huku wenzake wawili, Mtanzania na Mnaijeria wakikimbia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sawa mama watoto na wakina dada wenzio

    ReplyDelete
  2. Huo ujumbe ni kweli wa siku nyingi ukiitizama blg ya Martin ndio utajua wa mwaka 2012.

    ReplyDelete
  3. Bora kaka umesema wabongo wanakurupuka tu awafikirii

    ReplyDelete

Top Post Ad