MKE WANGU ANANIPANGIA RATIBA ZA KUFANYA NAE MAPENZI.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mimi nina mke na mtoto mmoja ..Yaani toka mke wangu alipojifungua Napangiwa Ratiba za ku do ...kwa week Mara mbili tu ..na mie nataka kugegeda kila siku ..Naomba ushauri Admin
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hey ugegede kila siku kisaa!! Unafikiri huyo mkeo mashine nini? Lol

    ReplyDelete
  2. Kama anakubania bac Hugo akupendi so mademu wengi kitaaa a cha ushamba ww.

    ReplyDelete
  3. aka mwaya mvumilie 2 kitaa magonjwa mengi.

    ReplyDelete
  4. kwani huna mshenga? Nenda kamwambie matatizo ya nyumba yako sio kuyaanika hadharani! Acha ufala wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. matatizo ya ndoa za digital aka screen touch

      Delete
  5. Huyo ni mkeo bwana sio malaya, kuwa mkeo haimanishi kufanya mapenzi every single day! Wanaume wangine wanaitaji kufundwa lol

    ReplyDelete
  6. Humfikish ww,mbona angeidai mwenyewe!

    ReplyDelete
  7. Kama anakubania kutoa sambunye komaa na bek3 kama yupo

    ReplyDelete
  8. Mara mbili kwa wiki inatosha sana we unataka kila cku huna guvu gani za ku do kila cku acha ukuma.

    ReplyDelete
  9. Baba mzima ovyo ushasema tangu ajifungue basi ujue ana reason ata kama mmeoana kutiana kila sku kunasababisha mtoto adhoofike(kumbemenda)lea mtoto uyo akikua utatomba had ukinai.

    ReplyDelete
  10. Kuna vitu vingi vya kuangalia hapo. Wengine wanaathirika ki psycologia baada ya kujifungua. Au pia inawezekana nafasi yako imezibwa na jirani. Open yuor eyes

    ReplyDelete
  11. Oa mke wapili. Ndio maana Mwenyezimungu aliyajua hayo akatoa ruhusa.utajifanya hutaki kuoa mwingine alafu unaenda kuzini nje!

    ReplyDelete
  12. Majitu mengne yanaropoka tu humu hata hayaelewi mwanamke akishajifungua huku chini kunaadhirika kiasi gani ,jaman mwanamke akijifungua huku chini kunaharibika mpaka baada ya mda ndo kunarudi normal,kwa hiyo kuwa na subira huyo ni mkeo na sio malaya na kwa ajili ya mtoto itabid usubiri

    ReplyDelete
  13. we sex machine nini kila cku duuuuuh!!!afu me sizani kama hapa ni mahali pa busara kusema shida zako kuna wazazi afu isitoshe ratiba mbona nzuri give her a break dear

    ReplyDelete
  14. Hili likoje!jitu zima ovyoo,yan kwan huyo mkeo ni mbwa maana hata mbwa akizaa anabana mkia na kuwa mkali balaa,hataki kichululu chake kiguswe sembuse mwanamke!

    ReplyDelete
  15. Tomba bek 3 kama vp

    ReplyDelete
  16. Nyoo, we utombe kila siku umekuwa mashine ya kusaga unga au unazani unatumia mafuta mwilini ee? au unazani ni chakula? tena ukome kuku wewe,mkeo nikimjua nampa bigup, unataka kumzalisha kila cku nyau wee..................

    ReplyDelete
  17. oa mke wa 2 ili siku 2 unalala kwake halafu siku 5 unalala kwa mwingine

    ReplyDelete
  18. oa mke wa pili ili huyo akichoka unaenda kumaliza haja zako kwa mwingine

    ReplyDelete
  19. Mijanaume mingine inakera kweli utakuta mtu akuhudumii ipasavyo lakini kutombana anataka kila cku utazani ndio msosi vile. We unafikiri kama unaishi maisha magumu na una mawazo kila wakati utapata wapi hamu ya kudoooo???
    Ahhhaaaaa! INABOA SANA KWA KWELIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad