SNURA: WEMA NDIYO ALIYENITOA KIMUZIKI..BILA YEYE NISINGEJULIKANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshukuru aliyekuwa rafiki yake wa damu, Wema Sepetu kwa kuwa ndiye aliyembunia vazi la muziki na fedha ya kurekodi wimbo wake wa kwanza.

Akistorisha na paparazi wetu, Snura alisema fedha ya Wema ilihusika kumtoa kimuziki kwani wakati akirekodi wimbo wake wa kwanza, sauti yake iliingia kwenye wimbo huo na vazi lake la shoo ya kwanza alilibuni Wema ambapo mpaka sasa analiendeleza, hivyo anamshukuru sana na anamuombea kwa Mungu ambariki zaidi.
“Namshukuru Wema, kwani alihusika sana kwenye wimbo wangu wa kwanza wa ‘Shogaake Mama’ kwani fedha yake ndiyo ilitumika kurekodi wimbo huo pia aliingiza sauti yake kwenye wimbo huo, alinibunia vazi la shoo yangu ya kwanza ambalo ninaliendeleza mpaka sasa,” alisema Snura.

-GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nyoko c ukikua unamtukana wema ww.. leo ndo umeukumbuka wema wake???hovyoo

    ReplyDelete
  2. Umefanya vizuri kwa kushukuru na kukumbuka fadhila Snura!

    ReplyDelete
  3. Lushindo lwa ng'wanoko c ulim2kana papaa wa kike

    ReplyDelete
  4. nenda ukatombwe mbele huko malaya weee! huna cha shkurani wala nini unauza sura tu kwenye mitandao!

    ReplyDelete
  5. Daah wabongo hamna mazur,sasa snurah kakosea nn tena?duuuuuuuuuuhh!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Upo juu snura achana nao mpe cfa sepetu

      Delete

Top Post Ad