FLORA LYMO AMCHANA JACK CIFF"FROM THE WEDDING OF THE YEAR 2011 TO MUUZA SEMBE WA MWAKA 2013"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 HAPA AKIINGIA KWENDA KUFANYA KWELI NA KIPENZI MUME WAKE MTARAJIWA ON THE 06/12/2011' WALIPENDEZA HASWAA'WALIVAA IPASAVYO HASWAA'JE HELA ZILITOKANA NA FAMILIA ,NDUGU NA MARAFIKI AU UNGA /SEMBE MADAWA YA KULEVYA'? JOYCE KIRIA'ALILALAMIKAAAAAA SANAAAA MITANDAONI NA PIA KUTUAMBIA MADHARA YALOMKUTA KWA KUKOPA KWA AJILI YA SHEREHE ZA HARUSI YAKE'' NA NATUMAINI WENGI MLIYASOMA MALALAMISHI YAKE NA PIA UPINGAJI WAKE WA WATU KUCHANGISHA KWENYE MAHARUSI '' SASA HAWA WENZETU ARUSI YAO NI KAMA MNAVYOIONA HAPA'' NA MIMI SIWEZI KUWAAMBIENI HELA ZILITOKA WAPI ''ILA '' KAMA WEWE NI MUELEWA NA UNAETUMIA AKILI BADALA YA WAKILI '' UTAWEZA KUONA ZIMETOKANA NA NINI HASWA'' SASA MWANADADA HUYU MREMBO JUZI JUZI NA MPAKA SASA HIVI AMEKUWA GUMZO LA KUSHANGAZA WENGI KUHUSU KUKAMWATWA KWAKE NA SEMBE HUKO CHINA'' NA MPAKA SASA HIVI BADO HUKUM YAKE HAIJATOLEWA'' YANI TUNAOMBA AU SIJUI NISEME TUNASUBIRI'' MBUTA NANGA'' JE WEWE WAONA BORA NINI HAPA'' MADAWA YA KULEVYA UFANYE HARUSI YAKO YA KUFA HATERS OR UCHANGISHE UFANYE HARUSI YAKO YA KUKANYAGAKANYAGA HATERS'' KAZI KWAKO ''

MR &MRS FUNDIKIRA'' HIVI JAMANI WANA WATOTO ? HEBU TUPENI HABARI ZAIDI ''AU  TANGU AOLEWE ALIKUWA KAZI YAKE NI KUBEBA MIMBA ZA SEMBE'' RUWA MANGI''
WACHENI MAONI YENU HAPA HAPA''
-FLORA LYMO BLOG
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. No NEED for BULLSHIT, ni mawazo yake, na wewe fanya mawazo yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwanaume anaekutia nyuma.anae suggest uuze sembe,anaekuomba pesa Woote sio watu .

      Delete
  2. Napenda mtazamo wako. Watu wengi hurisk maisha yao kuwaplease jamii ambao hata wengine hawawajui. Hivi unapopita ndani ya Limosine la harusi manzese nani unamkoga na atakusaidia nini kesho. Huyu dada ana kichwa cha panzi ndo mana anautumia mwili wake kama kontena la sembe. Apewe kitu inauma apunguze foleni mjini.

    ReplyDelete
  3. Fanya yako acha kufatilia ya watu bitch

    ReplyDelete
  4. Umbea tu kwan akiuza unga shida nn sa na ww uuze kama rahic yan watu bwana jaribu na ww uone kama ukuozea gerezan wache watu wafanye biashara wapate mpunga shida nn kaz ni kaz bana kla mtu anatafuta hela kwa aina yake so tafuta unavyojua

    ReplyDelete
  5. Huyo sio mtu wa jamii bali ni muuaji wa jamii, sasa hapo itakavyokuwa poa tu, huko aliko ni mbali sana na sisi watachomfanya wala sisi haitatuuma sana!

    ReplyDelete
  6. sure anony 3:49

    ReplyDelete
  7. Akitoka kama Masogange sijui mtajificha wapi nyuso zenu. Usihukumu nawe hautahukumiwa. Usilaumu wengine nawe hautalaumiwa.

    ReplyDelete
  8. Bora kubeba kwa siri kuliko umalaya unaofanywa na wanawake siku hizi,hii ni too much sasa wamezidi haswaa mkoani kwetu morogoro hadi mvua zimekata tangu mwrzo wa tisa hadi leo hii

    ReplyDelete
  9. Anayo yaongea yana umuhimu kati ya yeye na shoga zake. Mbona anawekaga picha za uchi anamtangazia nani. Anatafuta umaarufu kwa nani. Yametokea tuache yapite maana ndio yanafanya dunia inazunguka. Tafuta ela ki mpango wako. Utakufa huna hata miaa una jina tuu.

    ReplyDelete
  10. Saikolojikaly weye waonekana ulikuwa na wivu dhidi ya harus ya huyo mdada, ni kweli ali2mia gharama kubwa kukamilsha harus, lakn kimantk haikuhusu, hqsusan ktk kipind hk kigumu mdada huyu yuko mahabusu!!¿ Na kama una lengo ya kumchana live ungemchana kipind akiwa hajapatwa na hlo swaibu, we una kaz ya kusubrishia wenzio wanapojikwaa waanza kutia chumvi: kwan hyo kaul cie ina2husu, la hasha!, weye Yakuhusu.
    Mambo ya harusi ya jack na kukamatwa kwake nadhan ungekuwa na weled ucngetoa hlo, majungu! Hayafai!

    ReplyDelete
  11. Wamekamatwa wangapi mpk ajabu iwe kwa jack?na afungwe km walivyofungwa wengine,hiyo harusi yao haikuwa na baraka coz pesa za sembe,Jack subiri na wenzio wanakuja kukusaidia kula vyura na konokono,bitch

    ReplyDelete
  12. bibi harusi kapima ngoma au anaolewa tu!

    ReplyDelete
  13. Mwanamke kujishughulisha akiuza sembe we inakuhusu nn,kuma kibuyu we,olewa yako na wewe usichangishishe si unauza michupi yako kama fuko

    ReplyDelete
  14. George Kalitini hiyo tena balaa mh mbona majanga hahahahahah

    ReplyDelete
  15. We flora nae unawivu tuuu.sawa amekamatwa na unga na hicho ni kitu kibaya sasa mambo ya harusi kwani ndo umeyajua leo?au unawivu mtoto mdooooogo alikuwa amekupiga bao la maisha? Mxxxxxxi hapo ulipo hata cl unazitamani nyoko zako

    ReplyDelete
  16. wewe unaemtetea muza unga tako lako, unajua nijinsigani vijana wanumia kwajili ya kula unga? msenge mkubwa

    ReplyDelete
  17. laiti tungefahamu jinsi madawa haya yanavyoleta madhara tungemuomba Mungu wauzaji wote wapotee kwenye hii dunia. wasichana wanatumiwa kwa kupenda pesa na kutaka majina hapa town. Mungu atusaidie!

    ReplyDelete
  18. Flora wivu huo nahc anamtaka jux huyu na michupi yake kam gunia#

    ReplyDelete

Top Post Ad