KAJALA AELEZEA TUHUMA ZA KUIBA MUME WA MTU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni zile stori za town sasa hivi ambapo mwigizaji Kajala amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu yake ya kuandikwa kwenye blogs na magazeti ya bongo kuhusu tuhuma za kuchukua mume wa mtu.

Kajala anasema picha iliyopigwa akiwa na huyo mume wa mtu, kwanza ilipigwa bila yeye kujua lakini pia anasisitiza kwenda club au kwenda sehemu na kukutana na mtu na kupiga nae picha sio kwamba ndio umemuiba.


Anasema siku ya tukio ilikua ni siku ya kuzaliwa kwa mmiliki wa club hii ndio ikawa party hivyo kila mtu alikua anapiga picha ovyo ovyo ndio maana hata yeye hakujua kama anapigwa.

Kajala ambae ni mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 14, anasema picha hii na taarifa za kuiba mume wa mtu zimemletea tatizo na maswali kwa familia yake hasa Mtoto na Mama yake.

Anasema mama yake mzazi aliumwa kwa mshtuko alioupata kwa sababu alidhani mwanae kaenda China kikazi na sio kuchukua mume wa mtu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. cheki lilivo
    vaa mkundu
    wake!

    ReplyDelete
  2. Acha, joto hasira mamii, amependeza sana tu, tena yaonyesha uliyecomet ni mtoto wa kike. tuna chuki sisi vimwana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kudadadeki zako,kama wewe ni shetan unadhan wanawake wote ni mashatan,huo uvaaji kawashabikikie watoto zako na wadogo zako sio jamii,pumbav

      Delete
    2. Mavazi ni uhuru wa mtu, anavaa mwingine wewe unakereka nn?!tatizo la bongo mnajiona wajanja kumbe washamba watupu

      Delete
  3. umemchukua acha, watoto wa mujini mna tamaa sana, mwacheni mwenzenu ainjoyi na ndoa yake, yako imekushinda mpk mume amefungwa, unataka kuharibu ya mwenzio.

    ReplyDelete
  4. Tatizo la sisi tunapenda kuiga mavazi sa nguo gani?

    ReplyDelete
  5. Achen unafki mm navaa hivyo napendeza sana tena sana kajala shost umependeza mm nilijua selena william kumbe kajala hahaha komesha haooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. nani hua anakwambia kuwa umependeza,ukisifiwa na wakwale mnaotaka kukufila unajiona kweli umependeza,kama hua unapendeza si uvae hivo msikitin au kanisani uone kama hujatimuliwa bwege we

      Delete
  6. pendea thna dada mi wivu tu

    ReplyDelete
  7. Usupastaa kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  8. kajala wewe si unamtoto anamiaka 14,sasa uvaaji gani huo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata kama angekuwa kavaa bikini wewe inakuhusu nin?hii sio nchi ya kislaam au kikristo ndugu, mambo yenu pelekeni makanisani na misikitini

      Delete
  9. Dada maelezo yako tu yanaonesha ulivyomwongo,had it been a video clip we would have your body language,100% he fucked u.

    ReplyDelete
  10. Sasa hapo heshima iko wapi,huoni aibu kuvaa hivyo?mwanao nae atavaa nini?jiheshimu ili uheshimiwe,uvaaji huo mwachie kichanga chako.

    ReplyDelete
  11. UNAJUA HAKUNA MWILI WENYE THAMANI KAMA WA MWANAMKE WAKIAFRICA HUSUSAN
    TANZANIA,
    XAXA UYU DADA
    KWA WACENGE WENZIE
    WANAMUONA KAPENDZ
    ILA KAMA UMEKULIA
    MAADIL YA KI TZ
    AIBU HATA KULTIZAMA

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe hizo x and c zako, vipi? maadali ya mtanzania kweli hayo???

      Delete
    2. kwaza akufundishe shenzi yake huko kwake nyumbani mamae

      Delete
  12. kajala malaya tu huyo!

    ReplyDelete
  13. unakumbuka ulivyotoka tu jela ukawa unafirwa na xx pale blue pearl hotel..ulivyotoka uko hoi tulivyokuchukua kwenye gari ukaanza kutuambia yaani mbaba anafira yule hata usd 500 zake ni kama hazina maaana..unakumbuka?! punguza umalaya shost unatembea na kila aina ya mtu mpaka vitoto loh

    ReplyDelete
  14. Mavazi gani sasa hayo kajala je mwanao atavaa nini sasa

    ReplyDelete
  15. Acha utapeli kalipe watu chao FIKRA HURU

    ReplyDelete
    Replies
    1. we unamwambia nani??

      Delete
    2. Admin wa udaku na admin wa Fikra huru n mmoja namuambia ADMINI

      Delete
  16. huo uvaaji tu inatosha kumwita malaya.

    ReplyDelete
  17. Na wewe Shamimu hebu muache mwenzio, umekazana mavazi gani-mavazi gani ulitaka avae magauni makubwa kama nyumba yale yako, unajifanya unamiliki blog ya fashion wakati kuvaa hujui ajuza wewe. Eti sinta anakushadadia happy birth day umezaliwa 1983 uongo mkubwa, mimi na wewe tumezaliwa pamoja na tumesoma pamoja morosec, umezaliwa 1975. muache mtoto wa mwanamke mwenzio, kama huyo Serengeti boy wako hakufungwa kamba alimfuata mwenyewe kajala na umalaya wake, sasa unataka pesa ya sembe uile wewe tu, wewe ulikuwa punda wake, ukaloga na ushirikina wako ili ukae ndani, tulia tukusaidie kumpakata huyo Serengeti boy

    ReplyDelete
  18. SASA KWANI JAMAA KAONDOKA NAYO AU KIMEBAKI KWA KAJALA...SI KILA MTU KAONDOKA NA YAKE....HUYO ALIEIBIWA NAYE ALIKUA ANAWAIBA SANA TU MBONA

    ReplyDelete
  19. Kaaaaaaaaaaaaaaazi Kweli kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad