B12, ADAM MCHOMVU NA DIVA WAMEPIGWA CHINI CLOUDS FM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori:  MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamepigwa chini na kituo hicho, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi

Habari za chini kwa chini kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa uongozi wa Clouds umefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na tabia ya utovu wa nidhamu wa watangazaji hao.

Hata hivyo, madai ya mitaani yanasema kwamba watangazaji hao wamepigwa chini kwa kosa la kukacha sherehe za maadhimisho ya miaka 14 ya Clouds FM,yaliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar.

Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumwuliza juu ya ishu hiyo ambapo alikiri.


“Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na ofisi hivyo kusababisha usumbufu mkubwa ambao ulitulazimu kuingia gharama ambazo hazikutarajiwa.

“Hatutakuwa nao kwa muda usiojulikana ingawa watu wengi wamekuwa wakinihoji juu ya hilo lakini watachotakiwa kuelewa ni kwamba hakuna ofisi isiyokuwa na sheria na taratibu za kuongoza watu wake, sasa hao wamevunja taratibu zetu,” alisema Ruge bila kufafanua zaidi.

Alipoulizwa ni taratibu zipi watangazaji hao walizovunja alisema: “Nashindwa kueleza kosa la kila mmoja ila naomba nieleweke kuwa hao watangazaji kwa sasa tumewasimamisha kwa muda usiojulikana wakati tukifikiria cha kufanya. Muhimu hapo ni kwamba wamekwenda kinyume na tulivyokubaliana.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

31 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kalipe watu chao kule FIKRA HURU

    ReplyDelete
    Replies
    1. We msenge gani? kila mahara, nani ss?

      Delete
  2. Bora wafikuzwe mashoga hao...afu Na wewe ruge utakufa kifo kibaya sanaaa jua ilo kila siku nakuombea hivyo kuma wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mpumbavu ww unamtukana nani.? Kamtukane mama yako alokuzaa....naona ukimtamkia hilo tusi atakuona ww wa kisasa...

      Delete
    2. Assnte kwa kunisaidi yaani wananikera hao watu wanao comments na matusi basiii tu

      Delete
  3. usenge huo,,,, majembe ndo yapigwayo fitina kumanina Ruge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo umejitukana mwenyewe hebu soma vizuri sabubu ruge hana K ana Mboo

      Delete
  4. Mchovu ulifikiri hiyo redio ya baba yako ulimtukana sana dada wa watu jide, ruge na kusaga wanaangalia maslahi yao hawaangalii sura zenu, walishapigwa chini kina fina? Mburula mkubwa wewe.

    ReplyDelete
  5. Yule Jamaa anayetangaza saizi kwenye XXL simuelewi kabisa yaani anakera kinoma

    ReplyDelete
  6. Tupa kule, jini la CHADEMA sasa lipo Clauz.

    ReplyDelete
  7. bila dozen xxl imekufaaaa r.i.p cloudz

    ReplyDelete
  8. Umewatimua walipe chao acha usenge

    ReplyDelete
  9. Kiukweli xxl sasa hivi inaboa kinoma! Huyo presenter sijui ni takataka mmeiokota wapi? Tafadhali ruge rudisha B12 na mchomvu kundini! Hilo lingine limalaya hata ukilifukuza sawa tu, usikute cku hiyo lilikuwa linatombwa tu.

    ReplyDelete
  10. Hapo arudishwe B12 tu, hao wengine mother Fanta tu, timua kule. Wewe mchomvu, halipo ni hapa hapa duniani. Mtukane na leo Jide basi ili Ruge akuone wa maana, bado Kibonde, Gerald Hando na ile mishakunaku ya leo tena, wanajiona kama wamefika clouds.

    ReplyDelete
  11. R.I.P clauds radio mana chumvi imemwagika mboga itakua mbiga tena niyakumwagaiyo hatutakua namaana yalufungua claus kwa ss mana chumv hazipo hahahaha ruge umebug meen.

    ReplyDelete
  12. Ruge kaa nao pamoja hao vijana muondoe tofauti zenu, ni vizuri mkamaliza hayo matatizo kidiplomasia zaidi kuliko kufukuzana, kama ulishawaonya mara nyingi hawakusikia jaribu kuwapa nafasi ya mwisho watajirekebisha. Ni bora kurekebisha kasoro zilizopo kuliko kuanza na watu wapya kwani kwa kipindi hiki cha mpito vipindi vitaboa

    ReplyDelete
  13. Mbona akina Adamu mchovu wala hawana ethics za utangazaji kabisa!bora wawatimue kabisa, hawana la ziada zaidi ya kuwafundisha vijana uhuni na uvutaji wa bange

    ReplyDelete
  14. Daah wasenge hao mapoz yalikua mengi utafikili wimbo wa mr blue wamapoz wallimbiwa wao acha waonje nao uchungu cz wamewatukana wasanii weng sana kweny kakipind kao

    ReplyDelete
  15. Leo mmenikosha kwa kukemea hiyo mitusi mibaya sana. BIG UPA WADADAzi

    ReplyDelete
  16. luge mxenge umetowa majembe umeweka vijip chungu iyo redio imesha kufa ufisad mwing redio imekuwa yakikuma .fakar luge ()

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umemtusi mamako kilaza mkubwa!!!!...

      Delete
  17. Kwani clouds nayo radio ya kusikiliza siku hizi?pale wamejaa wasenge na mashoga tupu kuanzia Ruge,Kusaga,Kibonde,Hando na wengine wote wasenge tu.wengine wanasubiria tu siku zao.

    ReplyDelete
  18. Ckiliza radio iman tu mungu akupe kher

    ReplyDelete
  19. Mnasklizaga mashoga fm??kwanzio huyo bosi wao adi watangazaji wake wote ni wasengeeeeee

    ReplyDelete
  20. ruge kuma la mamako

    ReplyDelete
  21. Hallow...nafsi kitu hatar sana'''heshima kitu muhmu sana ktk jamii'''ukwel utabak kuwa ukwel leo na cku zote

    ReplyDelete
  22. Rudisha B 12 we Ruge , unadhani kuna mtu atasikiliza XXL tena ! shauri yako

    ReplyDelete
  23. matusi co msaada kwenu wapenda cloud cha msingi hapo ni kujadili ki utu uzima {kipindi najiunga na mtandao huu(twitter)nilikuta sharti uwe na umri ucopungua miaka 18 kumbe kuna hadi under 14 make wakati wa kubalehe ndo mtu huwa na kiburi} napita tu

    ReplyDelete

Top Post Ad