AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Pengine labda wewe ni dini ingine tofauti na uislamu, ujumbe huo ni mahsusi kwa waislamu ambao wameruhusiwa kwa sheria ya dini yao kuoa wanawake hadi wanne. Hivyo sio waswahili bali alieweka ujumbe huo amewahamasisha na kuwakumbusha wanawake wa kiislamu.
ReplyDeletenalo neno
ReplyDeletenalo neno
ReplyDeleteDu!!!!!!!?????? Haya bana.
ReplyDeleteDu!!!!!!!?????? Haya bana.
ReplyDeleteHatareeeeeeeee!2tupona jaman kama ndio hvy?
ReplyDeleteYaaah kweli kabsa
ReplyDeletemay is fact coz when those wives w'll b about 4 each 1 w'll show full respect 2 her husband and hard love when he is 2 another wife also
ReplyDeletethc reduce the load of works in carelling him and make the wife looks so shine and beutfully daily
come again.....
DeleteMi nimuislamu na sikubaliani na kuowa wake wanne juu ya matamanio,qurani imesema,tu pindi kuna mayatima,ndio uowe wake wanne,do that to help their widowed mothers n the orphans,sio juu ya matamanio kama waume wa siku hizi
ReplyDeletethank you 8;54 for give us a lesson about reality of thc writtings from HOLLY QURAN
ReplyDeleteHata Mungu anajua utamu wa mume uwe peke yako ndio maana aliwaumba adamu na hawa tu tusidanganyane hizi story zingine ni watu walileta kwa tamaa zao ndio maana mtu anaoa wanne na bado anavimada
ReplyDeleteKuwa na wake kumi ama ishirini siyo tatizo lakini uwezo wakulea vipi upo, je kutii kiu ya mapenzi waweza kama waweza fresh. Hii ni kwa hisani ya tunao amini dini za asili.
ReplyDelete