MWANAUME KUMGHARAMIKIA (KUHONGA) MWANAMKE NI AMRI MWENYEZI MUNGU-NI HAKI YAO KUHONGWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kutokana na ugumu wa maisha wanaume tumegeuka kuwa walalamikaji linapofika suala la mpenzi wake kuwa very dependant sana kwako na badala yake tumewageuza na kuanza kuwaita majina(inferiority complex) kama vicheche,wachunaji,ruba hata muda mwingine kuwaita Malaya n.k
Na wao kwa kutokufahamu au kutokana na pressure kutoka kwa wanaume ya kuogopa kusemwa vibaya tumepachikwa majina na kuanza kuitwa Mabuzi,ATM n.k lakini ukweli wa mambo ulishawekwa/ulishapangwa bayana na Mkuu wa viumbe vyote,Muumbaji (Creator),Mwanasheria Mkuu,Mtabiri Mkuu Mwenyezimungu by the way dini zote uumbaji na mwanzo wa binadamu unatoa maelezo yanayofanana(katika andishi langu napenda nitumie reference ya biblia)
Mwenyezimungu aliitoa amri hii ukisoma Biblia GENESIS(MWANZO) aya 3:1-24 hapo ndipo utabiri na utaratibu wa miasha ya binadamu ,ulipangwa upya mara baada ya Hawa kushawishiwa na Nyoka(shetani) kula mti wa tunda la katikati naye akamgawia Adam ale pia , ndipo walipoanza kujua mema na mabaya katika bustani ya Eden
Nanukuu katika aya ya 3 mstari wa 16 GENESIS(mwanzo) 3:16 mwenyezimungu anatoa assignment/task “Akamwambia mwanamke hakika nitakuzidishia uchungu wako,na kuzaa kwako,kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako itakua kwa mumeo,naye atakutawala” -(kumbuka wenzetu hawajawahi kulalamika hata siku moja kuhusu kusaidiwa uchungu,kuzaa na tunawatawala they know its NATURE/amri kutoka kwa Mwenyezimungu)NB;mtawala siku zote ndo mpangaji wa mambo yote refer serikali katika suala la budget ,budget kama haitoshi/finyu wananchi watalalamika bila kujua fedha utapata vipi?

Ndipo anapomgeukia Mwanaume na kumpa adhabu/assignment-basic task(ambayo wengi wetu tunalalamika) yake Genesis(mwanzo) 3; 17-19 “akamwambia Adamu kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako ,ukala matunda ya mti ambao 
nilikukataza,ardhi imelaaniwa kwa ajili yako;kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;18 michongoma na miiba itakuzalia nawe utakula mboga za kondeni 19;kwa jasho la uso wako utakula chakula hata utapoirudia ardhi ambayo katika hiyo ulitwaliwa”

Katika maelezo hayo hapo juu utagundua kuwa shughuli za ufanikishaji wa kimaisha ya binadamu(MAJUKUMU) katika ngazi ya familia zilishagawanywa(assigned) na Mwenyezimungu katika makundi mawili yaani ya kiuchumi ambayo alikabidhiwa mwanaume so we are responsible to provide Money,rent,shelter ,clothing and other expenses like shopping,Manicures,pedicures Voucher,M-pesa,Tigo-pesa etc na yale ya Uzazi kama kuzaa ,kutunza na kulea watoto wa 
familia alikabidhiwa mwanamke
Hivyo basi sio busara na ni kinyume na mafundisho ya imani ya dini mwanaume kulialia pale your girlfriend,wife,Mlupo etc anapodai haki yake ya kutunzwa na kukukumbusha umgharamie kwa sababu wewe ni mtawala wake tena unapaswa utii amri ya mwenyezimungu ambayo aliitoa Hapo MWANZO 3:1-24 ,Na hata upande wa UISLAM umeeleza bayana mwanamke akishaolewa hata kama anakazi she isn’t responsible katika gharama zozote za maisha(hata kuosha vyombo tu) labda aamue mwenyewe ,jukumu lake yeye ni uzazi na kulea(basic task zile…..)

Nawasilisha tulijadili ,changamoto zinakaribishwa pia 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hio inawezekana tu kama wanawake wangeishi kama wale wa stone age. waache kutuzonga kwenye vyanzo vya pesa, kama nafasi za masomo na kazi za ofisini, biashara nk. sana sana wangetusaidia kilimo tu kama lazima. kwa mtindo huo kazi zingetosha kwa wanaume na fursa za kipato pia zingetosha, wao wangebaki home kupigwa miti tu na kuzaa halafu watunze familia, hapo ndio ingekuwa sawa, ila hii ya haki sawa kwa wanaumw na wanawake hapo hakuna cha biblia wala koruani itabidi wajitegemee tu afterall uroda c mtam kwa wote? nasikia zamani uroda ilikuwa kwa wanaume tu kufaidi kwa vile walikuwa kama wanabakwa kwa kuozwa kwa nguvu bila ridhaa na pia kuolewa wengi kwa uroda inakuwa ni suala la kuzaa zaidi sio utam. Haya kwa sasa uroda c utam zaidi na c kuzaa kwa nini wasjibebe basi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ayaaa Umemaliiiiiiza mkubwaa Ofcn wakae bado hela zetu zitumike?? mxiuuuuuuu...!

      Delete
  2. mi nna kazi yangu lkn m.ume acponipa hela nampiga chini, coz ctaki m.ume suruali

    ReplyDelete
  3. WANAUME wote maskini wanaenda motoni.

    ReplyDelete
  4. we msenge nin matajiri wataenda moton

    ReplyDelete
  5. mbona sasa iyo yakutawaliwa aujaizungumza sababu siku hizi wanawake ndo wanataka kuwatawala wanaume we umezungumzia upande wa pesa tu na wasiwasi na uzi wako upange sawasawa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We umesoma kichwa cha habari lakini. Mada ni kuhongwa... sio utawala. Haya nenda kamuhonge demu wako...anakungoja.

      Delete
  6. serikarini vp mbona maandiko yanakataa mwanamke kumwongoza mwanaume lakini tunaona bungeni mbona kuna mwanamke acha ubabaishaji we mwandishi tugawane maumivu sio uangalie upande mmoja mwanamke ni mwanamke tu waulize watuluki watrakuambia.

    ReplyDelete
  7. hapo zamani ilifahamka kuwa ukiona mwanaume amefanikiwa ujue nyuma yake kuna mkono wa mwanamke..lkn ck hizi ukiona mwanaume amefilisika au haendelei ujue kuna mwanamke anafanya yake

    ReplyDelete
  8. alafu acha kubabaisha watu mungu alisema tuwagharamie wake zetu,sio vimada,kwa maelezo yako maana yake hata malaya anafata mangizo ya mungu?kama humjui mungu utulie

    ReplyDelete
  9. sijawai kuona mwanaume analalamika kumgharamia mke wa ndoa,wanaume wanalalamikia wanawake wanaokula pesa za wanaume wasiokuwa waume wa ndoa

    ReplyDelete
  10. kwa mke sawa ila kwa hawa wanaogeuza mapenzi kuwa miradi yao ya maisha,hapana,usitudanganye hapa

    ReplyDelete
  11. weweeeeeee.....leo umenena wamezidi hao kukwepa majukum yao

    ReplyDelete
  12. Hakuna wanaume wote sk Hz wanataka kuhongwa

    ReplyDelete

Top Post Ad