SHOGA WA KIUME ANATAKA KUNIHARIBIA NDOA..MSAADA JAMANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.

Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa


Msaada please nimuepuke huyu jamaa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwambie mkeo, hiyo ndio salama yako. huyo shoga hatakufwatilia tena, wanawake wanajua jinsi ya kuwa tuliza hivi viumbe.

    ReplyDelete
  2. Mbeeehhhh
    Hee unamtaka ww, c ublock no yake huko. Kwan umekula chake haaaa!

    ReplyDelete
  3. Mlete kwangu mimi nina dawa yao hawa watu, sugua hadi aombe msaada. Kuna mwenzake alishaacha nguo ya ndani getho.

    Manina!!

    ReplyDelete
  4. Mshirikishe mkeo. Nilishawahi kuwa na rafiki wa namna hiyo bila kutambua. Akaanza kunitumia msgs za kipuuzi na picha. Nikamwambia wife pia tukamface uso kwa uso na kumwambia aachane nasi. Tuko safe

    ReplyDelete
  5. Nitumie no yake nimwonyeshe dawa atakuja kukushukuru kwa kumpost

    ReplyDelete
  6. acha mawasiliano nae na umwambie mkeo wote mjadili pamoja jinsi yakukabiliana nae
    itakua rahisi kuliko kulikabili tatizo mwenyewe mwenyewe.

    ReplyDelete
  7. Acha kutudanganya hiyo picha ilikuwa mitandaoni tangia mwaka 2011 usitudanganye,acha upuuzi

    ReplyDelete
    Replies
    1. we kwel fala kwahyo ulitaka weke picha lako ndo uelewe story

      Delete
  8. jaman matuc ya nn tena mtu kaomba ushauri toa maon yko usepe

    ReplyDelete
  9. pole kaka nnachokuomba kata mawacliano hata akikutext mpotezee

    ReplyDelete
  10. We mle kwa kumuingizia mti atapata adabu

    ReplyDelete
  11. kaka watu kama hao waleteni mande ndo dawa yao

    ReplyDelete
  12. kaka watu kama hao waleteni mande ndo dawa yao

    ReplyDelete

Top Post Ad