VIDEO:CHEKI YALIYOMTOKEA DEREVA MBISHI WA LORRY HUKO MOROGORO DARAJA LILILOSOMBWA NA MAJI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu Dereva alionywa asipite yeye akajifanya comando John akawasha gari na kujaribu kupita ...kifika katikati lorry lote likazama ...hata sijui kama alipona huyu...angalia hii video ujionee
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sikio la kufa!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Huyo dereva ni mwendawazimu kwa sababu kwa akili ya kawaida, kwa mazingira kama yale, si rahisi kuweza kubaini nini kilikuwa chini ya maji!

    ReplyDelete
  3. Huyo hajaenda hata course ya udereva ya wiki moja maana tendo hilo alilofanya ni mfano ktk somo la uchukuaji wa tahadhari uwapo barabarani. Au kifo kilikuwa kinamwita. Lakini ukiangalia hiyo video vizuri naona km amechomokea dirishani, au ni macho yangu?

    ReplyDelete
  4. ME NAONA NI NEWZ YAKUTUNGA HII.. MAANA MAENEO TOFAUT KABISA

    ReplyDelete
  5. hiyo video iko wap sasa!!!!

    ReplyDelete
  6. BLOG NYINGINE ZAKIFALAA.. HIYO VDEO NA KAMA MWAKA MMOJA NISHAIONA.. UNAKUJA KUICHOMEKA KWENYE HAYO MAFURIKO YA MOROGORO.. KAMA MMEKOSA V2 VYA KUWEKA BORA MKAE KIMYA.. na wa2 wanasapot hawaon maeneo tofaut kabisa

    ReplyDelete
  7. vifo vingine watu wanajitakia wenyewe!

    ReplyDelete
  8. hiyo video iko wap sasa!!!!

    ReplyDelete
  9. Hiyo video sio ya morogoro watanzania kila kitu niusanii

    ReplyDelete
  10. Huyu blogger anagongwa...acha kutufanya wasenge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama yeye anagongwa bac wewe unafirwa

      Delete
    2. Mbona kimekuuma sana? ndo wewe muhusika nini? ndiyo unagongwa ushaona watu wapuuzi kila mara wafakekisha story. nyooooo~ko

      Delete
  11. Udaku nilikuwa ninawaamini sana kwa News zenu kumbe mnafanya usenge wa kuwadanganya wananchi kwa hiyo clip ya lory kuchukuliwa na maji kuwa ni mafuriko ya morogoro??mbona mimi hiyo clip ninaifahamu zaidi ya mwaka mmoja kabla ya mafuriko haya...acheni upumbavu..siyo kwamba kila mtanzania hana akili timamu...mkome

    ReplyDelete
  12. Watz wengi wanalishwa sumu na hizi blog uchwara na wanapenda udaku basi mmewapata hata hao wanaoweka matangazo hawatizami umakini wa ushuzi wenu.....mnakua na akili za kishoga kwa nini mna fake tukio

    ReplyDelete

Top Post Ad