ZITTO AWAUMBUA WABUNGE KWA KUFICHA UKWELI....AANIKA KILA KITU ANACHOPATA MBUNGE KWA MWAKA NA BAADA YA MDA WAKE.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Kigoma Kasikazini almarufu kama Mwanademokrasia wa kweli leo kaanika ukweli na kuonesha uwazi wa maslahi wanayopata viongozi wetu. Ikiwa wananchi kipato chao ni kidogo sana huku watumishi wakipokea mishahara ambayo haikidhi na cha kushangaza wale waliopewa dhamana ya kuwawakilisha bungeni hawaoneshi nia ya kupigania kuongezwa mishahara ya watumishi walau ikaribie kama yao. Je tutafika na je ndio Tanzania tunayoitaka?

Katika ukurasa wake wa FACEBOOK, Mwanademokrasia huyo kaandika hivi: "Posho za kukaa (sitting allowances) kwa mwaka ni tshs 36m kila mbunge. Kwa miaka 5 ni tshs 182m! We lost the battle. Will we gratuity one?"

NOTE TAKE: kama ndio hivyo basi mwaka 2015 vijana wote watagombea ubunge maana hakuna watu wenye nia ya dhati ya kuwatetea wananchi, vijana wanamaliza vyuo hakuna ajira wala kutengenezewa mbinu ya ajira. Kumbuka mbunge ni mtumishi na ni wajibu wake kuwatumikia wananchi.

habari kamili ingia hapa:https://www.facebook.com/zkabwe
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Big up sana babake gombea uraisi 2kuchague

    ReplyDelete
  2. Ndio kaka Mzalendo waumbue hao wasiokuwa Na uchungu Na wananchi..

    ReplyDelete
  3. Wananchi wana mzigo mkubwa sana,fikiria pesa wanazolipa kwa maraisi,mawaziri,majenerali,wakuu wa polisi na usalama wa taifa,maktibu wakuu wastaafu mishahara,gharama za maisha,matibabu nje,mabody guard pamoja na famlila zao na wanazidi kuongezeka mkulima ana mzigo sana.

    ReplyDelete
  4. Eeh sasa Mbona viti maalum Ni machangudoa je na wao the same??????? Mmmh !!!!!

    ReplyDelete
  5. Mm naona point hapo ni kuwajali wananchi kwa kuwapunguzia ugumu wa maisha na kufikiria jinsi ya kuondoa au kupunguza tatizo la ajira kwa wananchi kwa ujumla. kuhusu sula la pesa eti milion 36 kwa mwaka ambayo ni sawa na 98,000/= kwa siku sawa na Dollar 63 (63 US$) per day ni pesa ya kawaida ambayo hata mjasiliamali wa kiwango cha kati anaweza kuwa nayo.

    ReplyDelete
  6. Mm naona point hapo ni kuwajali wananchi kwa kuwapunguzia ugumu wa maisha na kufikiria jinsi ya kuondoa au kupunguza tatizo la ajira kwa wananchi kwa ujumla. kuhusu sula la pesa eti milion 36 kwa mwaka ambayo ni sawa na 98,000/= kwa siku sawa na Dollar 63 (63 US$) per day ni pesa ya kawaida ambayo hata mjasiliamali wa kiwango cha kati anaweza kuwa nayo

    ReplyDelete
  7. Mm naona point hapo ni kuwajali wananchi kwa kuwapunguzia ugumu wa maisha na kufikiria jinsi ya kuondoa au kupunguza tatizo la ajira kwa wananchi kwa ujumla. kuhusu sula la pesa eti milion 36 kwa mwaka ambayo ni sawa na 98,000/= kwa siku sawa na Dollar 63 (63 US$) per day ni pesa ya kawaida ambayo hata mjasiliamali wa kiwango cha kati anaweza kuwa nayo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usiseme hivyo kaka unakufuru Mungu embu kuwa Na huruma Na binadamu wenzio,maana hiko kiasi cha pesa ni kikubwa sana kaka kuliko jinsi unavyofikiria ukilinganisha Na maisha halisi ya mtanzania.....

      Delete
    2. Tzs 98000/=kwa siku ni hela ya kawaida?? Umeshawahi fanya utafiti wa kujua hali halisi ya kipato cha watanzania?? Au unecomment kwa kuangalia wewe na jirani zako mtaani kwenu mnavoishi??

      Delete
    3. Stupid wewe kumamayo we unaona pesa ndogo hiyo hivi unajua per capital Income ya mtu mmoja mmoja kwa Tanzania hii iliyokuwa Na mzunguko wa pesa,usioeleweka...Pumbavu wewe

      Delete
  8. Unaishi wapi ww kwa watanzania wengi zaidi ya asilimia 90 hizo ni pesa nyingi sana,labda uko kwenye kundi hilo,huna hata aibu.Wananchi wengi wanaishi kwa takribani dl moja kwa siku.

    ReplyDelete

Top Post Ad