AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Sammarize div one wangapi two wangapi hadi div five wangapi
ReplyDeleteYana makosa makubwa sana, hata sijui kwanini wamekurupuka kuyaweka mtandaoni. Ni aibu kwa chombo cha taifa kuweka hadharani kwa kujiamini kitu chenye makosa makubwa kiasi hiki. Kuna wanafunzi wana point 42, 43, 46, wameandikiwa DIV - IV wakati wengine wengi pia wana hizo point na wana Zero. Sasa tufwate lipi? Inamaana baraza halina wahakiki wa matokeo? Tunajuaje kama kweli yote yana usahihi? Coz ni uzembe wa hali ya juu ulooneshwa na baraza kwa haya matokeo.
ReplyDeletewaliomaliza shule za kata ndiyo watakaopigia kura ccm 2015!! ccm oyeeeee!!
ReplyDeletelabda mim cmu yangu mbov lakn kuna baadh ya shule czion!
ReplyDelete