PAUL MAKONDA “NAUNGA MKONO ONGEZEKO LA POSHO LA BUNGE LA KATIBA”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

1. Laki tatu(300,000) haitoshi, na mimi nasimamia hilo hadi iongezwe hii kazi ni ngumu. watu wamekuja na wanasheria wasaidizi ili kuwasaidia na kuwashauri.
2. Malipo ya dereva.
3. Nyumba Dodoma zimejaa sana si chini ya elfu arbaini(40,000).
4. Mafuta ya gari.
5. Mtu umeacha kazi zako na familia unakaa dodoma kwa miezi miwili(2).
6. Ada za shule.
7. taarifa za watoto kuumwa. nk.
kwa kweli wakitaka watu watulize mawazo yao kwenye katiba waongeze pesa kidogo, watu wasiwe waoga na nalisema wazi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani Nasikia ata kulia hivi we uonei ata huruma watanzania wenzako wanaokula mlo mmoja kwa siku wengine wanakufa kisa dawa we unasema laki tatu kwa siku haitoshi kwa mwezi karibu milioni Tisa Mbona mmekuwa majambazi mnawaza matumbo yenu tu

    ReplyDelete
  2. Kiukweli wabunge wengi wapo kwa maslahi ya matumbo yao tu na si vinginevyo.

    ReplyDelete
  3. KumaLaLaLaMamaKeee!!!!!! Yani uyu Paul kuma kweli. M-TZ anaumiza kichwa atakula nn siku iende, yeye anasema laki 3 haitoshi kumamake walahii!! Tena wazi wazi yani!! Bora kuwa fisadi tuu kama mambo yenyewe ndo hv hawa makuma wanawaza ma2mbo yao tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. C mliomba wenyewe?sasa unataka kwa kuteuliwa kwako kwa kubeba ndio unataka umalizie shida zako zote kwenye posho za bunge la katiba?kama mnaona haziwatoshi rudini kwenu na wateuliwe wenye mapenzi mema na nchi yao wako wengi tena wanasifa hata kuzidi waliyoteuliwa na Raisi,.

      Delete
  4. Hata ww unasema uliyeteuliwa kwa kubebwa?aaahahaha!

    ReplyDelete
  5. Paul kuma sana wewe unatupgia bajeti za kisenge....et watoto kuumwa hata aibu halina ....unafanyaga shugul gan na inakuingiziaga sh.ngap kwa siku????kuma sana wewe msenge

    ReplyDelete
  6. Kama haitoshi ondoka upishe watakao kuwa wametosheka na posho waendelee.

    ReplyDelete
  7. Ni aibu kijana mdogo visababu vya hovyo hovyo Tu..si utoke uwapishe wangine Wazalendo..shame on you!

    ReplyDelete
  8. Yaani huwa nachukia matusi lakini Leo wote waliomtukana nawasapoti kabisa mijitu mingine haina huruma ilifaa kuzaliwa Mende au panya kila ukimuona unameushia jiwe

    ReplyDelete
  9. Iv hamuwez kucomnent without kutukana jamani tuwe wastaharabu plzzzzzzzz. No offense to anybody

    ReplyDelete
  10. Watanzania tuwe wazalendo hiyo pesa mnayolipwa siku moja ni mshahara wa mtumishi wa serikali na anaishi na familia yake kama haiwatoshi rudini wapewe nafasi wenye uzalendo na nchi hii mbona wasomi wengi kwanini wachache watukwamishe rais tupa nje chagua wengine

    ReplyDelete
    Replies
    1. na ofisini alikotoka mshahara uko palepale eti posho haitoshi, nina hasira mpaka naumwa

      Delete
  11. Ulitaka wasitukanwe? Mikuma yao ya nyuma! Watupishe sisi tutaweka mambo kama U.S.A

    ReplyDelete
  12. Majambazi haya!!

    ReplyDelete
  13. hayo ndiyo maccccccmmm bwana!!! kulaaaaa tuuuu, mpaka yamalize nchi, tena mlitakiwa mpate laki moja tu kwa siku, wajinga kabisa nyie hata aibu hamna!!!! watanzania wengi hiyo shilingi elfu moja kwa siku ni nyingi, nyie mnataka laki tatu na zaidi, ilimkafanye starehe au? nyie hamko serious, rudini tu nyumbani na hilo bunge lisiwepo, sababu ni lakifisadi.

    ReplyDelete
  14. Inamaana sisi tunaolipwa lak tatu kwa mwezi hatuna majukumu? Tunawatoto, ndugu wanatutegemea, kodi ya nyumba, nauli, hospital, maji,umeme na hatujala inamaana nyie ndo wa maana kuliko sisi wengne uku

    ReplyDelete
  15. Hivi hii serikali hovyo sn,c watoe tamko mtu anaeona posho ndogo aondoke kwani ni lazima?aondoke wapo watu kibao wangependa wapate hiyo nafasi na hiyo posho wanayodai ni ndogo,mxiuuuu wadau inatia hasira mtukaneni tu huyo mburura makonda cjui,hana akili ss eti ada za wtt so anategemea posho ilipe mpk ada?eti ameacha zake inamaana hiyo sio kz,c aondoke akafanye hizo kz zake.mxiuuui

    ReplyDelete
  16. aisee hata mimi nashangaa, ite ada za watoto, kwahiyo hela za walipa kodi ndiyo zilipe ada za watoto wenu? na siyo kazi zenu mnazofanya? kweli aibu wewe kweli unayezungumza hivi ndiyo kiongozi? jamani watanzania aamkeni kubalini mabadiliko, haya ndiyo mawazo waliyokuwa nayo ndiyo maana nchi haiendelei tubaki kuwa omba omba, masikini wakutupwa na kuibiwa rasilimali zetu kutokana na mawazo duni kama haya.

    ReplyDelete
  17. kuma la mama yake, umekalia kuhonga tu Malaya ndomana unaona haitosh. wewe paul umezoea tu kuhnga na kiboo chako kama bamia fisad mkubwa.

    ReplyDelete
  18. Yaani ameonyesha ni kwa jinsi gani hata kwa bahati mbaya hapaswi kupata uongozi/madaraka ya aina yoyote ile katika nchi hii maana ni mtu wa mbinafsi sana. Dogo kuchaguliwa juzi tu tayari ushakuwa fisadi hutosheki?????

    ReplyDelete
  19. Yaani Nasikia ata kulia hivi we uonei ata huruma hawana ila mujuwe munatuchosha tumeshachoka Jaman hapa ni SEREKALI TATU (3) kwa mbili mutatulaza na njaa na mushatulaza tayar yaani munajivutia nyinyi tu hapa mpango ni SEREKALI TATU (3) BILA PINGAMIZI MM NASUBIR KURA YA MAONI MAPANGO SEREKALI TATU (3) kwa hali hii

    ReplyDelete
  20. wenzunu wanataka hela 7bu malaya wa bongo muvi wameshawka kambi kwa ajil yao
    sasa io miez miwili km katiba icngekuwepo mwanao wacngeenda xul au wanaumwa baba akiwa mbali acha ujinga ww fisad dagaa mapapa wooote wako kimya

    ReplyDelete
  21. Akwendeeeeee zake,tahira mkubwa

    ReplyDelete
  22. Km co katiba hao watt wenu wacngeenda shule?ili watt wenu wasome ina maana kila mwaka kuwe na bunge la katiba

    ReplyDelete
  23. Unategemea iyo hela ndo ikumalizia matatizo yako ivi kila mtu akisema kazi yake ngumu aongezewe mshahara patakalika hapa mfano JWTZ wanatulinda kuna kaz ngumu kama iyo kwa nchi, hebu toa njaa zako

    ReplyDelete
  24. HIVI TUNAENDA WAPI KWANINI TUSIRIDHIKE NA HICHO KIDOGO KAMA VIONGOZI WAASISI WANGEANGALIA NINI WANACHOPATA KWENYE FAMILIA ZAO TUSINGEFIKA HAPA TULIPO WATU WALIJITOA KUTEMBEA UMBALI MREFU WAKIHATARISHA MAISHA YAO DHIDI YA MAKABURU SIO KWA SABABU YA FAMILIA ZAO TU ILA KWA TAIFA WEWE LEO KUKAA BUNGENI KUSAIDIA KUTOA HOJA ILI TUPATE KATIBA MPYA AMBAYO ITAKUNUFAISHA WEWE NA KIZAZI CHAKO UNATAKA ULIPWE MILIONI NA WATU WANAKUFA NA NJAA WATU WANAKUTWA NA DHORUBA WANA POTEZA MAKAZI YAO WANAKOSA CHAKULA NA HAWANA TUMAINI LA KUFARIJIKA HIVI KARIBUNI. HEBU TUTUMIE UTASHI TUPUNGUZE TAMAA TUTENGENEZE KATIBA KWA MASILAHI YA TAIFA LETU

    ReplyDelete
  25. huna maana makonda!!!

    ReplyDelete
  26. Daaa! Yani siamini wala sikutegemea haya maneno yasiyo na fikra thabiti yatatoka kwenye mdomo wa mtu kama ww mi pia sipendi matusi kuyasikia wa kutamka lakini kwa mawazo kama haya uliyo toa matusi nimeona ni bora kwa mtu kama ww!! Umeishangaza jamii inayo kujua ni isiyo kujua....acha ulimbukeni Makonda.

    ReplyDelete

Top Post Ad