ROSE NDAUKA AMUWEKA HADHARANI MTOTO WAKE....VERY HEALTH BABY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Star wa filamu Swahiliwood, Rose Ndauka amemuweka hadharani mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni na kumpa jina la Naveen yeye na baba mtoto wake Malick Bandawe(Chiwaman). Kupitia 
mtandao mmoja wa kijamii Rose aliweka picha ta mwanae jioni hii na kuandika "nachukua nafasi hii kuwashukuru wote mlioweza kuwa na mimi na mpaka sasa tumepata mtoto wetu anayeitwa naveen na leo ikiwa tunasogelea arubaini yake tarehe 9/02/2014 basi nawaomba dua zenu na hii ndio zawadi niliopata kwa mungu nashkuru sana kwa zawadi hii shukran mama yangu mzazi na malick kwa zawadi hii... nawapenda sana"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu amjalie afya njema daima

    ReplyDelete
  2. Mungu amjalie afya njema daima

    ReplyDelete
  3. Hongera kwa kuwa mama

    ReplyDelete
  4. Hongera mama naveen

    ReplyDelete
  5. Hongera mrs malik bandawe

    ReplyDelete
  6. hongela sana mama mungu akujalie afya jemd we2 mtoto na kaka ye2 kila raheli

    ReplyDelete
  7. Huyu Co mtt wake n mtt w mshkaji wake anaitwa Salekh namjua huyu mtt Co w rose chunguzeni kbl hamjasema

    ReplyDelete
  8. Huyu Co mtt wake n mtt w mshkaji wake anaitwa Salekh namjua huyu mtt Co w rose chunguzeni kbl hamjasema

    ReplyDelete
  9. Huyu Co mtt wake n mtt w mshkaji wake anaitwa Salekh namjua huyu mtt Co w rose chunguzeni kbl hamjasema

    ReplyDelete
  10. haya nayo majanga mbona hamsomek
    jamani 2 muamini nani

    ReplyDelete
  11. nyie waongo xana rose alijifungua kwa parasheni kabixa na huyo ndo mtoto wake acheni zenu ,mbona hampendi maendeleo ya watu mtoto wa salekh hayupo ivooo muwe mnachunguza before talking..hingera mumy

    ReplyDelete

Top Post Ad