AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund
Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea
Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mungu Atunusuru...
ReplyDeleteduh?? kama kawaida rip kwa walokufa bt mafuta cpat hata dum moja? Sht.
ReplyDeletembona zimekuwa nyingi ajali za magari yamafuta..au ndo karma.
ReplyDeleteAlieungua ni ndugu yangu RIP Bro.
ReplyDeleteMafuta watu wamekunywa vigwaza hapo halafu wamechoma gari daaah
ReplyDelete