KIGOGO IKULU AMHONGA KAJALA GARI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NI madai mazito! Kwamba, nyota wa muvi za Kibongo, Kajala Masanja amehongwa gari na mtu anayedaiwa kuwa ni kigogo wa Ikulu. Hii ndiyo habari ya mjini kwa sasa na  Risasi Jumamosi limeifukunyua.

Kwa mujibu wa habari hizo ambazo zipo hadi kwenye mitandao ya kijamii, hasa Instagram, Kajala alinunuliwa gari hilo aina ya Toyota Brevis lenye rangi ya bluu iliyoiva  wiki mbili zilizopita mara baada ya kutua Bongo akitokea nchini China ambako alikwenda kwa mambo yake binafsi.

TAARIFA ZINAVYODAI
Wasambaza taarifa hao walidai kuwa, kigogo huyo wa Ikulu ni yule Clement ambaye amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu.

“Mmeisikia hii? Kajala amenunuliwa gari na Kile (Clement), lina thamani ya shilingi milioni kumi na moja, Wema alie tu nakwambia. We ukisema cha nini wenzako wanajiuliza watakipata lini?

“Kwanza mnajua kama bifu la Wema na Kajala lilitokana na Clement? Alipoachana na Wema akatua kwa msichana anaitwa Naima, lakini akaona bado akaenda hadi kwa Kajala. Wema alipogundua ndiyo akamnunia na kuanza ushoga na Aunt Ezekiel,” msambaza habari za mjini mmoja aliliambia Risasi Jumamosi juzi.

Akaendelea: “Unajua nini? Naamini Wema alimwacha yule bwana na akurudi kwa Diamond baada ya kuona mambo yake siyo mazuri, lakini sasa jamaa (kigogo wa Ikulu) mambo ni safi kwa hiyo anataka kumwoneshea Wema ndiyo maana ameamua kumnunulia gari Kajala baada ya kuwa naye.”

RISASI LALISAKA MITAANI  
Baada ya kuzinyaka habari hizo za kimjini, timu ya waandishi wa Risasi Jumamosi, Jumatano iliyopita iliingia mitaani kulisaka gari hilo hasa baada ya Kajala kutopokea simu.

Awali, mtoa habari mmoja alisema Kajala yupo na gari hilo Kinondoni kwa Manyanya, lakini alipofuatwa hapo hakuonekana.
Habari zikapatikana kwamba, alikuwa kwenye Mgahawa wa Steers uliopo jengo la Millennium Tower, lakini pia alipofuatwa eneo hilo hakuonekana.

ALHAMISI SAA 9:06 ALASIRI
Juzi, saa 9:06 alasiri, Kajala alipigiwa simu ambapo alipokea na mahojiano yakawa hivi:
Risasi: Mambo Kajala?
Kajala: Poa tu, mambo?

Risasi: Mambo poa. Eti, namba za gari lako Toyota  Brevis ni ngapi?
Kajala: Mh! Yaani hata mimi mwenyewe sizijui, sijazishika kabisa.
Risasi: Sasa, kuna habari kwamba hilo gari umenunuliwa na Clement, yule aliyekuwa na Wema zamani. Kuna ukweli wowote?

Kajala: Mh! Hizo habari si za kweli. Wapo watu wanajiita Team Wema ndiyo wameamua kunipakazia hivyo, wameandika hadi kwenye Instagram, lakini siyo kweli kabisa.

“Mimi nimelinunua hili gari kwa mtu. Aliniuzia kwa shilingi milioni kumi na moja (11,000,000). Sijahongwa wala sijanunuliwa. Kuna watu wanataka kunichafua tu.

KUHUSU USHOGA WAO KUFA
Kuhusu kufa kwa ushoga wao, awali Kajala hakutaka kulizungumzia suala hilo lakini alipobanwa alidai hana tatizo na Wema na kwamba kwa sasa yuko bize kutengeneza filamu zake.

WEMA AKWEPA SIMU
Kwa upande wake, Wema alipopigiwa simu hakupokea lakini siku za nyuma aliwahi kuanika kwamba haamini kama Kajala anaweza kutembea na Clement. Hapo ni wakati ule wakiwa mashoga.

TUJIKUMBUSHE
Katika gazeti la Ijumaa, Machi 21, mwaka huu ukurasa wa mbele kulikuwa na habari ndogo yenye kichwa;

WEMA, KAJALA KIMENUKA!
Katika habari hiyo, ilidaiwa kuwa, wawili hao si mashoga tena huku sababu mbalimbali zikianikwa.
Ilidaiwa kuwa, kisa kilianzia kwenye saluni moja Kinondoni, Dar ambapo Kajala alifika akiendesha baiskeli iliyosababisha kuloa jasho sehemu kubwa ya mwili.

Chanzo kilisema, Wema alipomuona Kajala alitaka kumkumbatia lakini Kajala alimkwepa kwa sababu alikuwa na jasho jambo lililomfedhehesha Wema na kununa.
“Alichokifanya Wema, alimrushia Kajala maneno makali akimhoji kwa nini alimfanyia hivyo wakati hawana tatizo lolote kati yao,” kilidai chanzo.

Siku nyingine ilidaiwa kwamba Kajala alikwenda nyumbani kwa Wema, Kijitonyama  kwa lengo la kumchukua waende location (sehemu ya kurekodia sinema), lakini alipofika aliambiwa ‘bimkubwa’ huyo alilala na Diamond hawezi kuamshwa.

Chanzo hicho kilisema Kajala aliwasiliana na Wema kwa njia ya simu ya mkononi akamwambia asubiri lakini alikaa kwa muda mrefu bila mafanikio hivyo hawakwenda kushuti siku hiyo.

Chanzo hicho kilidai pia kwamba ushosti wa wawili hao ulianza kupepesuka muda mrefu lakini uzi wa mwisho umekuja kukatwa na Diamond mara baada ya kurudiana na Wema.
GPL

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haya tunashukuru kwa kutufahamisha,

    ReplyDelete
  2. Sasa inatuhusu nini.

    ReplyDelete
  3. KwaNi kuhonga kitu gan? hata ww huwa unahonga...

    ReplyDelete
  4. Kwakeli kajala kama unatembea na crementy mungu akulaani tena ufie kwenye gari .hakuna lafiki mzuri ambae anaye kujari wakati washida yaani wema alikuwa si wa kumfanyia hayo hera ariyokutolea ni nyingi sana ungefikiri kabra ya kutenda lakini kumbuka maripo hapahapa crement hajakupenda kama alivyo mpenda wema anlala na wewe sbb alitemwa.kajala unatakiwa ujitambue mwanamke anathamani kubwa achukuliwi kama maarage ya mbeya maji maramoja hufai hata kwa bure unaweza lala na baba yako mama yako awe mbali na wewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Doreen njunwa mziray Hujambo

      Delete
    2. We nae hovyoo hta kuandika vizur hujui kaz ya umbea we una mabaya mangap mpaka unajiogopa. hzo laana unazomwombea kajala na zikirudie

      Delete
    3. PUMBAVU WOTE MNAJADILI UJINGA FAMILIA ZENU ZIKO STABLE??

      Delete
  5. Kahongwa gari na virusi juu ya mwili

    ReplyDelete
  6. Na mie nitamuhonga gari la milioni 20 ili nimtombe

    ReplyDelete
  7. Kwakeli kajala kama unatembea na crementy mungu akulaani tena ufie kwenye gari .hakuna lafiki mzuri ambae anaye kujari wakati washida yaani wema alikuwa si wa kumfanyia hayo hera ariyokutolea ni nyingi sana ungefikiri kabra ya kutenda lakini kumbuka maripo hapahapa crement hajakupenda kama alivyo mpenda wema anlala na wewe sbb alitemwa.kajala unatakiwa ujitambue mwanamke anathamani kubwa achukuliwi kama maarage ya mbeya maji maramoja hufai hata kwa bure unaweza lala na baba yako mama yako awe mbali na wewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Operation kimbunga inakuhusu,we si mtanzania

      Delete
    2. hahahahahahaha eti operation kimbunga inakuhusu! Wa TZ wana maneno jamani hadi rahaaa!! Lol.

      Delete
  8. Kwakeli kajala kama unatembea na crementy mungu akulaani tena ufie kwenye gari .hakuna lafiki mzuri ambae anaye kujari wakati washida yaani wema alikuwa si wa kumfanyia hayo hera ariyokutolea ni nyingi sana ungefikiri kabra ya kutenda lakini kumbuka maripo hapahapa crement hajakupenda kama alivyo mpenda wema anlala na wewe sbb alitemwa.kajala unatakiwa ujitambue mwanamke anathamani kubwa achukuliwi kama maarage ya mbeya maji maramoja hufai hata kwa bure unaweza lala na baba yako mama yako awe mbali na wewe.

    ReplyDelete
  9. Mademu wa bongo muvi wote ni machangu, maharage ya mbeya

    ReplyDelete
  10. Badala ya kufanya mishe mishe ya kumtoa mumewe jela yeye anagawa uchi tuu

    ReplyDelete
  11. We nawe usitushoshe na micomment yako,comment moja inatosha

    ReplyDelete
  12. Anony 1:56 ulimaliza darasa la saba kweli? Pa R unaweka L

    ReplyDelete
  13. Acheni usenge, kuhongwa gari tu mnatangaza je kama yeye alihonga mkundu je???

    ReplyDelete
  14. Sijakimbia umande kuchapia jambo lakawaida msomi yeyote awezi kuchangia umbea wa humu .

    ReplyDelete
  15. watu husahau fadhila kamuona mwenzake kafulia ndo anajidai kashika time zake mbona kipindi cha ela ulikua unamnyenyekea kama Mungu wako

    ReplyDelete
  16. pumbavu huu ni ushenzi kwan kajala anawauma nini akipewa garina wewe tafta wa kukupa gari kama atapatiakana..

    ReplyDelete
  17. nahuyo clement aangalie fagio la chuma lisije mkumba maana anafuja mali ya ikulu pia anaitia serikali aibu kwa umalaya wake ajiheshimu kwani yuko mahali nyeti sana ambapo panataka nidhamu ya hali ya juu

    ReplyDelete
  18. pole sana WEMA usilipize ubay a hata siku moja amini yakua MUNGU YUPO ujue hata mnavyosema wema ni malaya wema sio malaya mchafu wala hatembei na wanaume za mashoga zake lakini kwakua yeye ni mzuri kuliko wote bongo move ndo maana wanabaki kula makombo ya wema na watayala sana hata kinyaa hawaoni ,kidoti ,amekula makombo irene owuya kidoti penny.......wema kazi yake kuwabakishia uchafu wake hata kinyaa hawaoni bongo move ilivyo na njaa,,,,wema ni mwanamke anejielewa na atabaki kuwa wema mpaka anakufa wengine mnaiga tu,

    ReplyDelete

Top Post Ad