Huwa siko huru kabisa ninapokuwa na mpenzi wangu club, kwanza kuna wakati naona kama namkosea heshima vile nikisalimiana na wasichana wengine anakosa raha, mara ananiambia amechoka anataka kurudi nyumbani halafu hapo ndio kwanza club pamenoga, alafu sisikii raha nikicheza nae napenda kucheza na mtu simjui najiachia mpaka, naona Bora niwe nimuache tu kiroho safi. Au vipi wadau..!
_________
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni BonyezaHAPA
Unajua nn wanaume weng hupenda kilevi..ni wachache kwa ninavyoamin hunywa na kulewa chakar..sasa ukienda na mpenzio ukishalewa yeye atakukokota mrud hom. Kwa hiyo unataka ukokotwe na baa medi...? Epuka Ukimwi beba wako hata harusin,send off. Jivunie chako...
huyu anaonekana kule club kuna watu huwa wamfira akisha lewa kwaiyo akienda na mpenzi wake watu watamkosa bora umuache ukachezee kifiro vizuri sio mbaya.
we mdau soma kwa makini amesema anaona anamkera akisalimiana na wanawake wengne bado hujajua kama ni mwanamme sasa unaposema kwann alikubali kuolewa nae ndo nini sasa nahs umekurupuka tu
Hakuna Tatizo, We Endelea Kutokuambatana Nae, We Ponda Raha Tu Na Hao Mbwa Zako, Ila Ipo Sk Utake Usitake Utaongozana Nae Siku Akiwa Anakukokota Kwenda Mwananyamala Kula Vidonge Vya Ukimwi.Kwahiyo Kwa Sasa We Endelea Kujirusha Bilicanas,msasani Club,na Huko Vijijini Wazazi Wako Wakitaabika Hawana Mtu Wa Kuwasaidia Wanalala Njaa,hawana Makazi Maalum Ni Ombaomba.Nao Wanaisubiri Maiti Yako Waje Wakuzike Huko Kijijini Kwanu Ambako Umekususa.
ni kweli muache tu ili tamaa ikujae kwa unaocheza nao ili wakakubebeshe virusi vya ukimwi ndipo utatulizana nyumbani,
ReplyDeleteHongera mdau hapo juu. Kama unashindwa kumpa raha za ujana...uzeen ndo utampa. Mjinga ww...
DeleteUnajua nn wanaume weng hupenda kilevi..ni wachache kwa ninavyoamin hunywa na kulewa chakar..sasa ukienda na mpenzio ukishalewa yeye atakukokota mrud hom. Kwa hiyo unataka ukokotwe na baa medi...? Epuka Ukimwi beba wako hata harusin,send off. Jivunie chako...
ReplyDeleteMpumbavu
ReplyDeletehuyu anaonekana kule club kuna watu huwa wamfira akisha lewa kwaiyo akienda na mpenzi wake watu watamkosa bora umuache ukachezee kifiro vizuri sio mbaya.
ReplyDeleteWe si malaya2 kama malaya wengine,utachezaje? na mwanaume mwingne wakati wakwako yupo,kama hukumpenda kwanini? uliolewa nae.we PIMBI nini? kafie huko.
ReplyDeleteeeeeeeh eti PIMBI.
Deletewe mdau soma kwa makini amesema anaona anamkera akisalimiana na wanawake wengne bado hujajua kama ni mwanamme sasa unaposema kwann alikubali kuolewa nae ndo nini sasa nahs umekurupuka tu
ReplyDeleteManyoya weweeee......huna AKILI
ReplyDeleteHakuna Tatizo, We Endelea Kutokuambatana Nae, We Ponda Raha Tu Na Hao Mbwa Zako, Ila Ipo Sk Utake Usitake Utaongozana Nae Siku Akiwa Anakukokota Kwenda Mwananyamala Kula Vidonge Vya Ukimwi.Kwahiyo Kwa Sasa We Endelea Kujirusha Bilicanas,msasani Club,na Huko Vijijini Wazazi Wako Wakitaabika Hawana Mtu Wa Kuwasaidia Wanalala Njaa,hawana Makazi Maalum Ni Ombaomba.Nao Wanaisubiri Maiti Yako Waje Wakuzike Huko Kijijini Kwanu Ambako Umekususa.
ReplyDelete