CHEGE CHIGUNDA AMEMPA MAKAVU LIVE BINTI ANAYEDAI KUWA MPENZI WAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kutoka kwenye Instagram ya Msanii Chegge leo ameweka maneno ya Binti moja akimwambia mwingine kuhusu mahusiano yake na Chegge. Kwenye post ya Chegge anaonekana kutomfahamu kabisa binti huyu. Chegge ameandika maneno haya


 ” Kupoteza time na kufungua AC feki ili kutibua Watu kwanza niushamba pili usilazmishe ukaribu na mtu ambae hata time ya kutaka kukujua hana sishangai sana coz najua kuna watoto walozaliwa kitandani na wengine walizaliwa chooni japo kwa bahati mbaya,sio kwamba inanisumbua bt nimekwita mshamba coz unajificha,nautaendelea kua mshamba coz naamini hutojitokeza utaishia kufanya ushamba wako mpk utapojigundua unaofanya niushamba basi utaacha”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi mwanaume

    ReplyDelete
  2. Bongo kwa umalaya inaongoza

    ReplyDelete
  3. Chege kagonganisha vichwa kisha anavikana! hehehehe...Bongo kwa kuwekana foleni ni noumaa!

    ReplyDelete
  4. Wasani wa kibongo kwa foleni naweza kusema munaongoza maana kila kukicha ni mpnz but hakuna ishu zingine za kupost. oo

    ReplyDelete

Top Post Ad