HALIMA: KWA DIAMOND, NIPO TAYARI KUFA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Imelda Mtema
DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.

Alisema ukaribu wake ni wa kawaida lakini yupo tayari kufa badala yake (Diamond).
“Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond, nimechora tatuu ya jina lake mkononi kuonesha msisitizo, namkubali” alisema Halima.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Maanayake nini udada wahiari uswahili huo.aseme wanakazana pia kwani huyo domo ni joka la kibisa.mbonahilo lidude halima limekaa kinjaanjaa tu.

    ReplyDelete
  2. Question mark...

    ReplyDelete
  3. Kumanina zako kufa.

    ReplyDelete
  4. Dada nawewe vp? mb.n.............,,.,

    ReplyDelete
  5. umeliona eeeh yani la uzwazi alfu full matatizo ndo maana..diamond mle kiboga .

    ReplyDelete
  6. Hela kafiri, mr nice alikua hivyo hivyo, watu kibao walikua wanajipendekeza alivyofilisika kila mtu kala kona

    ReplyDelete
  7. Kukimbia mwananyamala bondeni,kukimbilia starehe na maisha ambayo kwenu Ni ngumu kuyapata lazima useme hivyo.tatizo njaa na maisha ya kuishi Kama kunguru.lazima uwe tayari kufa kwani Una sehemu ya kuishi wewe?dah njaa sio mchezo.rudi bwana nyumbani utaishi kwa watu mpaka lini?utaumbuka siku si nyingi halima bonge.

    ReplyDelete
  8. Wasiokujua ndio watashangaa tunaokujua tunakucheka.ni njaa Tu inayokusumbua hallima bonge na kukimbia chumba kimoja familia nzima,lazima uwe tayari kufa chezea bata za mjini?shule ulikimbia mwenyewe,maisha yakakupiga,umalaya south,ushoga Tata wa kupelekana kwa waganga na maimatha kule kisiwani mwananyamala na sasa wewe ndio mshika tunguri wa domo

    ReplyDelete
  9. EMBU TUTOLEE USHUZI WAKO

    ReplyDelete
  10. diamond ana lips nzuri ..kama za wema napenda lips zake...

    ReplyDelete

Top Post Ad