JB APONGEZWA KUMWANIKA MKEWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe, Irene na kumwagiwa pongezi.

JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika mkewe huyo katika mitandao ya kijamii.
“Mh! Leo JB ameamua kweli maana tangu afunge ndoa hatujawahi kumuona mkewe, hongera sana, Mungu awajalie,” alisema Mayasa Mrisho ‘Maya.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo ndio Irene a.k.a queen jinalake lingine.mtoto wa sinza Mori.

    ReplyDelete
  2. Hlf mwenyehii blog Jana nawewe ndio ulikua unaunganika huko kwenye muungano pakaboa umefufuka sasa topic kibaooo

    ReplyDelete

Top Post Ad