JAJI WARIOBA AFUNGUKA, ASIKITISHWA NA KAULI ZA VIONGOZI CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Jaji Warioba amefunga na kusikitishwa na upotoshaji mkubwa sana unaendeshwa na viongozi wa CCM juu ya Rasimu ya katiba. Amesema kuna uongo unaokuzwa kuwa Serikali tatu inasababisha jeshi kuchukua nchi, amesema kwanini iwe jeshi tu na wasiwe walimu nk? Akaendelea kusema kuwa akiwa Waziri mkuu mara zote alipokuwa akifanya ziara mikoani alikuwa akitembelea maeneno yenye kambi za jeshi, anasema kulikuwa na hali ngumu sana lakini bado wanajeshi wale waliendelea kufanya kazi kwa weledi mkubwa. Anajiuliza Je, kwanini awakupindua nchi wakati huo. Amesema kinachosikitishwa ni kauli hizi kutolewa ndani ya makanisa na sehemu za ibada, jambo ambalo amesema kuwa linaweza kuwa ni kuwagawa watanzania kwa itikadi za dini nk. Jaji Warioba akiwa na uso unaonyesha huzuni amesema kuwa wanasiasa na hasa wa chama tawala wanaweza wakalipasua Taifa na kuleta madhara makubwa kwa Taifa mbeleni.

Source: EATV hot mix
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asante warioba! hongera kwa kazi yako njema ya kukumbukwa na watanzania.wewe ni mzalendo wa kweli.

    ReplyDelete
  2. Ndo ukubwa huo
    Avumilie tuu
    Bidhaa fake zimetawala soko

    ReplyDelete
  3. CCM wanataka tumwage damu, wameanza kututisha na Ndege za Jeshi ambazo si kawaida kufanya mazoezi ya Muungano kwa kupotisha Ndege za Vita karibu kabisa na paa za Nyumba. Watanzania tuweni makini.

    ReplyDelete
  4. TATIZO WANAOCHANGIA BUNGENI HAWASOMI RASIMU YA KATIBA NA WENGI WAO WAPO KUSUBIRI SIKU YA KUPIGA KURA TUNA WENGI NI WALE WA KUNDI LA MIA MBILI WENGI NI BENDERA FUATA UPEPO

    ReplyDelete
    Replies
    1. hawajui kilichowapeleka kule hilo ndo tatizo kubwa, kwa sababu wao walienda kwa ajili ya kutetea taasisi nyingine kwa kuwa vyama vya siasa vinajitetea wenyewe sasa wao kutoka atawatetea nani, kwenye uvuvi, ukulima, elimu, afya n.k yani watanzania jamani hatuna akili ni za kushikiwa

      Delete

Top Post Ad