JOKATE MWEGELO ADAI BADO YUPO SINGLE TOKA AMEACHANA NA DIAMOND

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show’ anachokiendesha kwa kushirikiana na Ezden Jumanne aka The Rocker.

Katika kipindi hicho cha kwanza kuoneshwa, watangazaji hao walianza kwa kuhojiana wao kwa wao kwanza na moja ya maswali aliyoulizwa Jokate ni kama yupo kwenye uhusiano wowote wa mapenzi. Jokate ambaye pamoja na kuwa muigizaji wa filamu pia ni muimbaji wa muziki na mjasiriamali, alisema kuwa kwa sasa yupo single lakini haimaanishi kuwa wanaume hawamsumbui kumtaka kimapenzi.

Jokate amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchezaji wa basketball wa timu ya Oklahoma City Thunder, Mtanzania Hasheem Thabeet pamoja na uhusiano uliodumu kwa kipindi kifupi na staa wa muziki, Diamond Platnumz.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mtu utakuwaje single,,bitch!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Hivi mnaopost ,huwa hamna za kuweka ? Kila mapenzi na akina diamond,sisi yanatuhusu nini mtu kuwa single ? Wekeni mada za maendeleo watu wajadili,watu wanahitaji kujua fursa mbalimbali tulizonazo,utalii,afya,kilimo,elimu,uvuvi,mifugo,na mwenendo wa katiba bungen,kila siku diamond na mapenzi kwa sisi tunataka mapenzi,au nyie anawatomba ?

    ReplyDelete
  3. Mbwa wewe! Muone Nani anakutaka wewe bitch! Limefukuzwa kwenye Kwaya! Mmbayaaaaa lione domo lake!!!! I hate youuuuuuuuu!!!!!

    ReplyDelete
  4. So anamiaka miwili hajagongwa....tundu litakuwa limeziba basi....star wa bongo banah majangzi tupu...we sema sipo na mtu ila kugongwa km kawa....km umefikisha mwez hujagongwa mi nakunya humuhumu

    ReplyDelete
  5. Doooh hv jokate ni star mabig haya star wanini kwamfano.minaona anajitutumua tu km povu la maq sabuni

    ReplyDelete
  6. Wapi dida ulie tu hapo kidoti na ezdee wanapendezeaje yan natamani wadate itakuwa bonge moja ya couple!

    ReplyDelete
  7. Mambo yenu ya kimapenzi yaishie huko huko unavyotutangazia ni kwamba unataka watu no hadanganyiki mtu hapa hilo lako mwenyewe. umemtaja dim tu na hao wengine wamekugonga wangapi?

    ReplyDelete
  8. njo nikutooombee naona una minyegeee

    ReplyDelete

Top Post Ad